Tetesi: Percy Tau kutua Simba

Tetesi: Percy Tau kutua Simba

Khama Billiat umri umemtupa! Lakini pia ni spana mkononi! Hivyo timu yoyote itakayomsajili, itakuwa imelamba garasa.
Ana 30 saiv, kwani chama ana ngapi? Boko je? , Ok kuhusu majeruhi hata Moses phiri alisajiliwa akiwa majeruhi au umesahau? Hata Fabric Ngoma ni spana mkononi! Ila ukitoa majeruhi Biliant ni bonge la mchezaji!
 
Huyo mchezaji hawezi kuja Simba na siyo Simba tu hawezi kucheza east and central Africa...hamna pesa ni mchezaji ghai Africa halafu mkamlaze Ramada hotel hahaaa
Ulihesabu wanazo hela kiasi gani au unaongozwa na hisia zako mfu?
 
Huyo mchezaji hawezi kuja Simba na siyo Simba tu hawezi kucheza east and central Africa...hamna pesa ni mchezaji ghai Africa halafu mkamlaze Ramada hotel hahaaa
Simba wamemshindwa miquisone wa 95m/mwezi, ndiyo watamuweza perci Tau wa 400m/mwezi?
Mo mwenyewe pesa yake inaelekea kukata, juzi tu kamlilia sawadogo akimuomba awe anamlipa kwa mafungu.
 
Simba wamemshindwa miquisone wa 95m/mwezi, ndiyo watamuweza perci Tau wa 400m/mwezi?
Mo mwenyewe pesa yake inaelekea kukata, juzi tu kamlilia sawadogo akimuomba awe anamlipa kwa mafungu.
Ndiyo maana ni ngumu sana huyo jamaa kuja kusajiliwa huku. Huku ni kwa kina Doumbia, Sawadogo, na Kibwana.
Hata Aziz yanga walikuwa na bahati fulani hivi
 
Uwezo wa simba kumsajili huyu mchezaji Percy Tau, hamna. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Kwanza msimu uliopita, alikuwa ni mchezaji tegemeo. Hivyo msijifariji na kulishana matango pori.
Wameshindwa kupata signature ya Miqquesone asiye na namba al ahly.

Leo wamedanganywa wanaweza kumpata mchezaji tegemeo, Percy Tau.
 
First 11 ya mabingwa Africa una uwezo wa kumlipa ww kolo.

Market value yake ni sawa na kikosi kizima Cha Simba.

Bado mshahara wake

Miquisone tu anawashinda
Kwanza mkataba bdo mwaka 1 na timu zetu hatuna ubavu wakuvunja mikataba..burnely inamtaka alafu Simba itie mkono,hiyo ndoto
 
Wameshindwa kupata signature ya Miqquesone asiye na namba al ahly.

Leo wamedanganywa wanaweza kumpata mchezaji tegemeo, Percy Tau.
Hawa viumbe ndiyo maana Rage aliamua tu kuwachana ukweli. Sijui ni kwa nini huwa wanapenda kuamini kila kitu wanachoambiwa au kusikia.
 
Kwa mshahara gani ambao simba wanaweza kumlipa??
 
Back
Top Bottom