Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Miqson analipwa Mil 50 sio hela ya maana?Mnawakuza tu Ila muarabu halipi ngoz nyeus pesa za maana
Acheni kumkuza Sana kwanza wachezaji wengi wa kiafrica hawana furaha kuzichezea vilabu vya waarabu angalabu achezee kwa weusi of whch wengi huwa na amani