Tetesi: Percy Tau kutua Simba

Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika kusini anayekipiga Alhly ya Misri

Hongera Simba
View attachment 2686083
Huyo siyo mchezaji wa kulipwa milioni mbili kwa mwezi. Manzoki si tuliambiwa anakuja msimu huu?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika kusini anayekipiga Alhly ya Misri

Hongera Simba
View attachment 2686083
Labda watamsajili percy taulo but percy tau tunayemfahamu sisi labda wakawauze wanachama wao wote🤣🤣
 
Uzi hauna maana ungefutwa tu hata zikiungana Simba na Yanga hazina ushawishi wala pesa ya kumlipa,Muwe mnatumia akili kidogo mchezaji alicheza Brighton & Hove Albion sasa hivi Burnley wameonyesha nia alete makalio yake bongo anawazimu.

Wewe ulipandisha thread jinga sana.
 
First 11 ya mabingwa Africa una uwezo wa kumlipa ww kolo.

Market value yake ni sawa na kikosi kizima Cha Simba.

Bado mshahara wake

Miquisone tu anawashinda
 
Mnawakuza tu Ila muarabu halipi ngoz nyeus pesa za maana

Acheni kumkuza Sana kwanza wachezaji wengi wa kiafrica hawana furaha kuzichezea vilabu vya waarabu angalabu achezee kwa weusi of whch wengi huwa na amani
Kama kumrudisha Konde boy tumeshindwa aje kuwa Percy
 
Mnawakuza tu Ila muarabu halipi ngoz nyeus pesa za maana

Acheni kumkuza Sana kwanza wachezaji wengi wa kiafrica hawana furaha kuzichezea vilabu vya waarabu angalabu achezee kwa weusi of whch wengi huwa na amani
Dah!aliyewaita makolo mbu3 aliona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…