Tetesi: Percy Tau kutua Simba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahh
 
Uwezo wa simba kumsajili huyu mchezaji Percy Tau, hamna. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Kwanza msimu uliopita, alikuwa ni mchezaji tegemeo. Hivyo msijifariji na kulishana matango pori.
Hata Yanga huo uwezo hawana, na hata ukiwepo hawezi kubali, yeye anataka CAFCL na sio losers
 
Ndiyo maana ni ngumu sana huyo jamaa kuja kusajiliwa huku. Huku ni kwa kina Doumbia, Sawadogo, na Kibwana.
Hata Aziz yanga walikuwa na bahati fulani hivi
Sasa Aziz ki ana kipii cha maana?? Angekua na uwezo si angeenda hata Raja au Wydad, mwenzake Konate kaenda Arabia huko.

Aziz mwenyewee hata utopoloo wamemchokaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema 5
 
Haloo nani mwenzangu?
 
Ulikula nn hii siku wewe?
 
Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika Kusini anayekipiga Alhly ya Misri

Hongera Simba
View attachment 2686083
Watakuwa wapumbavu sana iwapo wamemsajili huyo mchezaji.Natumai haitakuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…