Tetesi: Percy Tau kutua Simba

Sasa Aziz ki ana kipii cha maana?? Angekua na uwezo si angeenda hata Raja au Wydad, mwenzake Konate kaenda Arabia huko.

Aziz mwenyewee hata utopoloo wamemchokaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
 
Tunafagilia makaburi tu.
 
Sasa Aziz ki ana kipii cha maana?? Angekua na uwezo si angeenda hata Raja au Wydad, mwenzake Konate kaenda Arabia huko.

Aziz mwenyewee hata utopoloo wamemchokaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment ilikaa Kihasibu hii.
 
Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika Kusini anayekipiga Alhly ya Misri

Hongera Simba
View attachment 2686083
Mangungu ulitudanganya kuhusu Manzoki tena kwenye uchaguzi mkuu tukakubali,sasa una kuja na Percy Tau sawa sisi ni mbumbumbu ila kwa hili bakora zinakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…