makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wao bench la ufundi ni miungu au!? hawakosei!?Upo kwenye benchi la ufundi au ndio kila kitu tunajua tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao bench la ufundi ni miungu au!? hawakosei!?Upo kwenye benchi la ufundi au ndio kila kitu tunajua tuu
Lile birika la kuvutia shisha limewatoa ufahamu kweli watopoloIna maana haujui Kama Simba wamepewa nafasi na CAF ya kuongeza wachezaji?
Au wewe unajua Sana KUSHINDA Simba?
Utopolo kwa uchawi tunawajua mlimtupia Ajibu ringiNendeni mkamtibu kwanza Morrisson,maana anahenia tayari....ashatolewa mshipa huko......
KWA NINI UNATESEKA. Kwan umeambiwa simba ni timu ya MIBAKULIWanapiga hela za Mwamedi bure tu! Simba ina shida ya kiungo?
Ameshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakaniIna maana haujui Kama Simba wamepewa nafasi na CAF ya kuongeza wachezaji?
Au wewe unajua Sana KUSHINDA Simba?
Kwani Barbara anafahamu ili kweli?Ameshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakani
Kanuni zimebadilika siku hizi ndugu... Yule alicheza hatua ya awali tu, kwenye group stage anaruhusiwa kucheza na timu nyingine. Hata kwenye UEFA sasa hivi iko hivyo.Ameshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakani
wewe kalale tu hujui kitu UtopoloAmeshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakani
Hata Nchimbi alifunga hattrick Uto wakamsajiliKila anayewafunga mnamsajili kuanzia Morrison, Kaheza, Miqueson na sasa Chikwende.
Nyege zikiisha wanashangaa kumbe ni Papa Ndawah mpya
Nyege zikiisha wanashangaa kumbe ni Papa Ndawah mpya
SadneyNyege zikiisha wanashangaa kumbe ni Papa Ndawah mpya
Ameshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakani
Hao Utopolo hakuna wanachojua zaidi ya kuiombea mabaya Simba,ni majitu yenye roho mbaya na ushamba mwingi sana.Kanuni zimebadilika siku hizi ndugu... Yule alicheza hatua ya awali tu, kwenye group stage anaruhusiwa kucheza na timu nyingine. Hata kwenye UEFA sasa hivi iko hivyo.
Ina maana haujui Kama Simba wamepewa nafasi na CAF ya kuongeza wachezaji?
Au wewe unajua Sana KUSHINDA Simba?
Kwa hiyo unasajili kwa ajili ya mashindano ya CAF tu? Anyway tuyaache hayo. Binafsi siupondi usajili kwa quality ya uchezaji Bali kwa nafasi yake kiwanjani Simba hawakuwa na tatizo. Kwenye nafasi anayocheza huyo Chikwende pale Simba wako wengi Tena Ni wazuri, Ni suala la kuwaamini tu freshi.
Acha udanganyifu kaka, Simba hela ipo inatokea wapi mkuu? Kwa chanzo gani cha mapato?Kuna vpl Kuna caf champion league.
Pia usisahau Simba HELA IPO.
sisi mashabiki badae hatutaki lawama kuwa hatukuwa na wachezaji.
Makocha washindwe wenyewe.
Acha udanganyifu kaka, Simba hela ipo inatokea wapi mkuu? Kwa chanzo gani cha mapato?
Yanga hatuna ujinga huo, Antibayotiki hata angekutwa anacheza mchangani cv yake tu ilitosha kumsajili na moto wake umeonekana, nyie aliwachezesha shere kule kwao mkampa ela alegeze mechi ya home kwenu ili mumsajili[emoji23][emoji23][emoji23] apo mmelipa fadhila.Yanga na Simba hawana tofauti...... SAID NTIBAZONKIZA...alitufunga goli moja hapa kwa Mkapa mechi ya kirafiki Taifa Stars na Burundi.......kesho yake asubuhi tunamuona anasajiliwa timu ya Yanga.....Simba na Yanga bado sana kwenye usajili
Kusajiliwa kwa wachezaji haimaanishi kuwa na hela, miaka yote wanasajiliwa na hela hakuna kwenye hizi timu zetu.Sasa hao wachezaji wanasajiliwa kwa mawe ndugu?
Au wanavyokuja hapo Simba unaona Ni Jambo rahisi rahis.
Wale jamaa juzi wamesajili mchezaji wa ndani hela hawanaa.