Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

Ina maana haujui Kama Simba wamepewa nafasi na CAF ya kuongeza wachezaji?
Au wewe unajua Sana KUSHINDA Simba?
Ameshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakani
 
Kanuni zimebadilika siku hizi ndugu... Yule alicheza hatua ya awali tu, kwenye group stage anaruhusiwa kucheza na timu nyingine. Hata kwenye UEFA sasa hivi iko hivyo.
 
Soma hayo maelezo.
UWE UNAULIZA
Ameshacheza ligi ya Mabingwa akiwa na Platinum hawezi chezea timu nyingine kwenye mashindano hayohayo,labda acheze ligi ya ndani au asajiliwe asubiri mwakani
Screenshot_20210115-162835.jpg
 
Kanuni zimebadilika siku hizi ndugu... Yule alicheza hatua ya awali tu, kwenye group stage anaruhusiwa kucheza na timu nyingine. Hata kwenye UEFA sasa hivi iko hivyo.
Hao Utopolo hakuna wanachojua zaidi ya kuiombea mabaya Simba,ni majitu yenye roho mbaya na ushamba mwingi sana.
 
Kwa hiyo unasajili kwa ajili ya mashindano ya CAF tu? Anyway tuyaache hayo. Binafsi siupondi usajili kwa quality ya uchezaji Bali kwa nafasi yake kiwanjani Simba hawakuwa na tatizo. Kwenye nafasi anayocheza huyo Chikwende pale Simba wako wengi Tena Ni wazuri, Ni suala la kuwaamini tu freshi.
Ina maana haujui Kama Simba wamepewa nafasi na CAF ya kuongeza wachezaji?
Au wewe unajua Sana KUSHINDA Simba?
 
Kuna vpl Kuna caf champion league.
Pia usisahau Simba HELA IPO.
sisi mashabiki badae hatutaki lawama kuwa hatukuwa na wachezaji.
Makocha washindwe wenyewe.
Kwa hiyo unasajili kwa ajili ya mashindano ya CAF tu? Anyway tuyaache hayo. Binafsi siupondi usajili kwa quality ya uchezaji Bali kwa nafasi yake kiwanjani Simba hawakuwa na tatizo. Kwenye nafasi anayocheza huyo Chikwende pale Simba wako wengi Tena Ni wazuri, Ni suala la kuwaamini tu freshi.
 
Kuna vpl Kuna caf champion league.
Pia usisahau Simba HELA IPO.
sisi mashabiki badae hatutaki lawama kuwa hatukuwa na wachezaji.
Makocha washindwe wenyewe.
Acha udanganyifu kaka, Simba hela ipo inatokea wapi mkuu? Kwa chanzo gani cha mapato?
 
Sasa hao wachezaji wanasajiliwa kwa mawe ndugu?
Au wanavyokuja hapo Simba unaona Ni Jambo rahisi rahis.
Wale jamaa juzi wamesajili mchezaji wa ndani hela hawanaa.

Yanga na Simba hawana tofauti...... SAID NTIBAZONKIZA...alitufunga goli moja hapa kwa Mkapa mechi ya kirafiki Taifa Stars na Burundi.......kesho yake asubuhi tunamuona anasajiliwa timu ya Yanga.....Simba na Yanga bado sana kwenye usajili
Yanga hatuna ujinga huo, Antibayotiki hata angekutwa anacheza mchangani cv yake tu ilitosha kumsajili na moto wake umeonekana, nyie aliwachezesha shere kule kwao mkampa ela alegeze mechi ya home kwenu ili mumsajili[emoji23][emoji23][emoji23] apo mmelipa fadhila.
 
Sasa hao wachezaji wanasajiliwa kwa mawe ndugu?
Au wanavyokuja hapo Simba unaona Ni Jambo rahisi rahis.
Wale jamaa juzi wamesajili mchezaji wa ndani hela hawanaa.
Kusajiliwa kwa wachezaji haimaanishi kuwa na hela, miaka yote wanasajiliwa na hela hakuna kwenye hizi timu zetu.
 
Back
Top Bottom