Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Huyu Chikwende binafsi naona Bonge LA Usajiri.Kila anayewafunga mnamsajili kuanzia Morrison, Kaheza, Miqueson na sasa Chikwende.
Atatusaidia sana kwenye mashindano ya Champions League ukizingatia kasi yake Uwanjani 💪💪💪
Kwa zile pass za Triple C mwamba wa Lusaka pale kati, tutegemee Chikwende kufunga almost kila timu atakayokutana nayo.
Simba Nguvu Moja 💪💪💪💪