Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

Kila anayewafunga mnamsajili kuanzia Morrison, Kaheza, Miqueson na sasa Chikwende.
Huyu Chikwende binafsi naona Bonge LA Usajiri.

Atatusaidia sana kwenye mashindano ya Champions League ukizingatia kasi yake Uwanjani 💪💪💪

Kwa zile pass za Triple C mwamba wa Lusaka pale kati, tutegemee Chikwende kufunga almost kila timu atakayokutana nayo.

Simba Nguvu Moja 💪💪💪💪
 
Yanga hatuna ujinga huo, Antibayotiki hata angekutwa anacheza mchangani cv yake tu ilitosha kumsajili na moto wake umeonekana, nyie aliwachezesha shere kule kwao mkampa ela alegeze mechi ya home kwenu ili mumsajili[emoji23][emoji23][emoji23] apo mmelipa fadhila.
Kurwa na Doto hatuchekani........😀😀
 
Mchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..

Kama hakuna kabisa recruitment professionals...

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu

Anasajiliwa..
Ditram nchimbi alisajiliwa na Tanga baada ya kuwagonga 3 akiwa na polisi
 
Simba pesa ipo 1.2bilioni inakuja kwenye akaunti presha ya nini?

Uto nasikia Dante nae anaenda CAS kuwadai, yule Tambwe nae bado hamjamlipa, Zahera nae anawadai, toeni umbea wenu huku mkawalipe hao wanaowadai.

Madeni FC.
"Nasikia" hili neno hua lina ambatana na umbea
 
Mchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..

Kama hakuna kabisa recruitment professionals...

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu

Anasajiliwa..
Watakutana na Fiston mamaaake.
 
Back
Top Bottom