Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Hivi unakwenda kumnunua mchezaji wa kigeni kwa gharama kubwa na matokeo yake ni kumtupa bench kali bila hata kumpa game time!
Kitendo hichi kinatoa image mbaya sana kwa club yetu na baadae tutakosa wachezaji kutokana na mtindo huu usiofaa na unaoua vipaji vya wachezaji.
Sven alikuwa anajaribu kuwapa wachezaji karibia wote game time lakini huyu Gomes ame-stick na wachezaji wachache tu kama nusu hivi ya timu na wengine wote kuozea bench.
Amme alicheza mechi ya Plateu kule Nigeria Ndemla alicheza mechi ya Platinum kule Zimbabwe. Cha ajabu kwa kocha huyu hata dakika kumi za mechi ya Mwadui Amme hapangwi. Kwa maana hiyo basi Simba haihitaji wachezaji 30 kwani huwatumia nusu tu ya hao wachezaji na wengine wote waliobakia huozea benchini na hivyo vipaji vyao kufa.
Tunamuasa Gomes aache mtindo huu na aige alichokuwa anakifanya Sven.