Perfomance Ya YANGA yafichua ushabiki wa MWIGULU NCHEMBA

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Baada ya mchezo kunoga kwa timu ya Yanga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, waziri Mwigulu Nchemba alilazimika kuinuka kwenye kiti alichokuwa amekaa huku akiwa amevalia shati yenye rangi ya njano na kijani, na kuwahakikishia kuwa yeye ni shabiki Damu wa Yanga.
 
Mwigulu ni nani mkuu?
 
Mwigulu ni nani mkuu?
siyo huyu hapa...
10891922_861053907284199_3655956340205244039_n.jpg
 
Baada ya mchezo kunoga kwa timu ya Yanga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, waziri Mwigulu Nchemba alilazimika kuinuka kwenye kiti alichokuwa amekaa huku akiwa amevalia shati yenye rangi ya njano na kijani, na kuwahakikishia kuwa yeye ni shabiki Damu wa Yanga.

Safi sana Mwigulu Nchemba kwa kuchagua timu bora tanzania.
 
Baada ya mchezo kunoga kwa timu ya Yanga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, waziri Mwigulu Nchemba alilazimika kuinuka kwenye kiti alichokuwa amekaa huku akiwa amevalia shati yenye rangi ya njano na kijani, na kuwahakikishia kuwa yeye ni shabiki Damu wa Yanga.

NINA HOFU NA USHABIKI HUU KWA WAKATI HUU....!!

Any way, Mwigulu anajua yanga ina fans wengi sana nchini.
 
Mwigulu ni shabiki wa yanga. hata mechi za wabunge mashabiki wa Simba na Yanga hukipiga Yanga. Zitto n Simba. Mbowe Yanga. Dr Slaa Yanga. Mrema Simba IDD Azan Simba Rage Simba Mdee Yanga Sitta Simba.
 
Lowassa yanga.jk yanga,mwinyi yanga,ben mkapa yanga,simbachawene yanga,mimi yanga
 
Mwigulu ni shabiki wa yanga. hata mechi za wabunge mashabiki wa Simba na Yanga hukipiga Yanga. Zitto n Simba. Mbowe Yanga. Dr Slaa Yanga. Mrema Simba IDD Azan Simba Rage Simba Mdee Yanga Sitta Simba.

Nyerere (RIP), Mwinyi, Mkapa na Kikwete - Yanga.
 
Yoweri Museveni Yanga, Paul Kagame Yanga, Anna Tibaijuka Simba!
 
okwI BOBAN SUNZU. Katavi Masuke sembo
n.k
muda si mrefu watahamia Yanga.

Nyumbani kwangu hakuna rangi ya njano au kijani, akija mgeni na nguo hizo tunampa kiti nje na kama ni mgeni atakaa siku kadhaa na kama tunamheshimu sana nitaagiza wachukue nguo zote za rangi hiyo waende wazifue hata kama ni safi halafu wazifiche, siku akitaka kuondoka atapewa.
 
Back
Top Bottom