youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Baada ya mchezo kunoga kwa timu ya Yanga katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, waziri Mwigulu Nchemba alilazimika kuinuka kwenye kiti alichokuwa amekaa huku akiwa amevalia shati yenye rangi ya njano na kijani, na kuwahakikishia kuwa yeye ni shabiki Damu wa Yanga.