Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale madogo walitisha sana, japo starring aliona aibu akikumbuka alivyowaacha mwanzoni mwa matatizo.Kuna madogo wako kwenye movie inaitwa PENINSULA ni hatari sana hasa yule anaendesha gari
Na yule mwenzie walieenda kuwauzia Tv tupu walinda amani akawa anaigiza yuko ndani ya Tv [emoji23]Dogo wa Beast of no nation!!! Aguu!!
Aliua mule!!!
Ila hii quiet place part 2 naona kuna uigizaji mbovu mwingi sana. Kikiwemo kilio cha huyo dogo. Alilia sana aisee😀😀😀 hadi uhalisia ulipotea.Wale madogo walitisha sana, japo starring aliona aibu akikumbuka alivyowaacha mwanzoni mwa matatizo.Na yule mwenzie walieenda kuwauzia Tv tupu walinda amani akawa anaigiza yuko ndani ya Tv [emoji23]
Kuna yule dogo ameigiza A QUIET PLACE kwenye part 2 kuna mahala alikanyaga mtego ukamnasa aisee yule mtoto alilia kwa uchungu mpaka we mtazamaji unausikia
Macho yako tu.Ila hii quiet place part 2 naona kuna uigizaji mbovu mwingi sana. Kikiwemo kilio cha huyo dogo. Alilia sana aisee[emoji3][emoji3][emoji3] hadi uhalisia ulipotea.
Naona kama kalikuwa kanakuza reactions. Mfano kile kilio na pale sehemu kalikutana na maiti ya kakapiga yowe.Macho yako tu.
ila ina uigizaji mzuri pengine kuliko ya kwanza, uhalisia unapoteaje [emoji2][emoji2][emoji2]??? yule dogo alilia kwa uhalisia kabisa kilio cha maumivu na kukata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ni mtoto bwana lazima utambue hilo, pia ana igiza kana kwamba hajui kitakachotokea mbele yake.. Kwa rika kamaa lake la utoto kuona maiti ni kitu cha kuogofya mno, tena maiti yenyewe imekaa mpaka inatisha, usisahau pia maisha wanayoishi yamegubikwa na hofu saa zote wanahofia uhai wao.Naona kama kalikuwa kanakuza reactions. Mfano kile kilio na pale sehemu kalikutana na maiti ya kakapiga yowe.
Naona ilikuwa Box Office successKuna watoto wako talented sana. Naikubali sana performance ya Enola kwenye movie waterworld 1995.
View attachment 1885793
acha kabisaKuna madogo wako kwenye movie inaitwa PENINSULA ni hatari sana hasa yule anaendesha gari
Acha kuongea masikhara mkuu,hivi unaujua uchungu wa ule mtego??Ukishawahi sikia mlio anaotoa simba akinaswa bahati mbaya na ule mtego!???Ila hii quiet place part 2 naona kuna uigizaji mbovu mwingi sana. Kikiwemo kilio cha huyo dogo. Alilia sana aisee😀😀😀 hadi uhalisia ulipotea.
kusema ukweli mkuu atakua hanaga hisia mpaka hajamfeel huyu mtotoAcha kuongea masikhara mkuu,hivi unaujua uchungu wa ule mtego??Ukishawahi sikia mlio anaotoa simba akinaswa bahati mbaya na ule mtego!???
Pale ameact kama Tom wa Tom and Jerry. Tom kibanwa na mtego kama ule utatulia kwanza, akiona ndiyo kilio kinaanza. Unakuta yupo hewani ila hajui kama yupo hewani, akitazama chini ndiyo anaanza kulia kwa sauti. Ile movie mi kwa ujumla niliona wanaigiza chini ya kiwango. Yule black naye wakujidai busara😀😀.kusema ukweli mkuu atakua hanaga hisia mpaka hajamfeel huyu mtotoView attachment 1887326
Sent using Jamii Forums mobile app
umeshinda mkuuPale ameact kama Tom wa Tom and Jerry. Tom kibanwa na mtego kama ule utatulia kwanza, akiona ndiyo kilio kinaanza. Unakuta yupo hewani ila hajui kama yupo hewani, akitazama chini ndiyo anaanza kulia kwa sauti. Ile movie mi kwa ujumla niliona wanaigiza chini ya kiwango. Yule black naye wakujidai busara[emoji3][emoji3].
Ila ile ya kwanza ilikuwa poa sana, sijui sababu mwenye kazi yake alikuwa ndani?