Perfume anazotangaza Haji Manara zitakuwa na Harufu Gani? Au ni dawa ya Mbu?

Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Tumeshakusamehe, tunakuombea upone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimtetee kisa ualbino. Haina uhusiano kbs hio. Angekua muungwana angefunga mdomo kwa huo ualbino wake. Yaani yeye akikashifi wengine iwe sawa ila yeye akipewa za uso ionekane albino ananyanyapaliwa. Hapana za uso atapewa tu regardless of his albinism
Akitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.

Heri yako wewe mwenye mvuto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Sontable nakuangalia tu naona Komeo Lachuma katika ubora wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe fisi jike. Yeye alitangaza parfume wewe nyumba yake ndogo unakuja kujishaua hapa na kanga moko.

Watu bhana. Zile sio pafyum, ni sun screen lotion zinazozuia mionzi ya jua kwa watu wenye ualbino. Haji ameanzisha NGO inayosupport people with albism. Na sio biashara, kenge wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.

Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k

Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.

Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.

Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Mkuu, nimecheka sana. Umeua kabisa.
 
Ni kweli mkuu jamaa siyo smart upstairs ni bwatubwatu tu... Unadhani hayo manukato sijui lotion itakuwa na harufu nzuri? Itakuwa hovyo tu.mi nashauri haji manara atengeneze sumu ya mende ndo itauza
Mkuu, nimecheka sana. Umeua kabisa.
 
Back
Top Bottom