Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,327
Leo nimeamini wachawi wapo aseee tusibeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote yanawezekana maana anapoongea huwa anaacha akili zake home pale anakuwa na bichwa tupu wakati mwingine huwa nawaza huenda akawa ni mlemavu wa fikra piaAu club imemchoka domo lake katemwa kwenye safari
Bila shaka ana ulemavu wa akili pia.Yote yanawezekana maana anapoongea huwa anaacha akili zake home pale anakuwa na bichwa tupu wakati mwingine huwa nawaza huenda akawa ni mlemavu wa fikra pia
Haji Manara muhuni sa.Alichowafanya Maccm Mungu anajua sasa kaja Mkorogo wa kimkia mkiaaaaaaaWanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.
Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k
Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.
Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.
Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Tatizo ni harufu ya perfume,kama mwenyewe ana lugha chafu perfume itakuwa na harufu chafu!Mkuu tatizo kwako ni perfume? au haji manara mwenyewe?
Anazigawa bure?Watu bhana. Zile sio pafyum, ni sun screen lotion zinazozuia mionzi ya jua kwa watu wenye ualbino. Haji ameanzisha NGO inayosupport people with albism. Na sio biashara, kenge wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua watamuambaruty huko misri akienda!Haji hajaenda Misri kabaki anauza dawa zake za mende au Delaboss perfume.
Niliwah kushauri kuwa ni Bora kunyamaza kuliko kuongea ujinga, mtoanmada kampinga haji kwa kigezo Cha uropokaji wa haji wewe ualibinonumeutoa wapi?Akitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.
Heri yako wewe mwenye mvuto.