Tumeshakusamehe, tunakuombea upone.Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.
Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k
Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.
Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.
Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Utakuwa wewe ndio umewaza ualbino, mbona sijaona sehemu ambapo mtoa mada kahusisha hiloAkitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.
Heri yako wewe mwenye mvuto.
Akitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.
Heri yako wewe mwenye mvuto.
Hiv mtoa mada unadhani unaweza kufikia hata robo ya umaarufu wa Manara?
Sontable nakuangalia tu naona Komeo Lachuma katika ubora wakoWanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.
Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k
Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.
Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.
Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Hiv mtoa mada unadhani unaweza kufikia hata robo ya umaarufu wa Manara?
Utakuwa wewe ndio umewaza ualbino, mbona sijaona sehemu ambapo mtoa mada kahusisha hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee ww huna akili buraza elewa hilo.Unamtukana na mama yako sasa
Watu bhana. Zile sio pafyum, ni sun screen lotion zinazozuia mionzi ya jua kwa watu wenye ualbino. Haji ameanzisha NGO inayosupport people with albism. Na sio biashara, kenge wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nimecheka sana. Umeua kabisa.Wanasema ana tangaza perfume.sijajua nani kamshauri lakini najua imeingia choo cha kike tena cha stand iliyo na kilabu cha pombe za kienyeji. Hawajui watanzania huyu.
Hakuna mtanzania mwenye uwezo ambaye atanunua perfume za haji manara. Labda atengeneze za buku buku akauze tandale,manzese, vingunguti,mbagala,buguruni,temeke n.k
Jamaa alivyo na mdomo mchafu hiyo perfume yake itakuwa na harufu gani?si bora angekuwa anatangaza dawa ya kuulia mbu na wadudu wengine hapo tungenunua kwa kuwa na uhakika kuwa itaua.
Kwa marashi hapo simuungi mkono.hayatakuwa na harufu nzuri.yatakosa kabisa mvuto kwa sisi wapenzi wa perfume maana yeye mwenyewe hana mvuto hata kidogo.
Labda wanasimba wataamua kumuunga mkono sababu ni bwatulio wao.
Mkuu, nimecheka sana. Umeua kabisa.