Perfume anazotangaza Haji Manara zitakuwa na Harufu Gani? Au ni dawa ya Mbu?

Au club imemchoka domo lake katemwa kwenye safari
Yote yanawezekana maana anapoongea huwa anaacha akili zake home pale anakuwa na bichwa tupu wakati mwingine huwa nawaza huenda akawa ni mlemavu wa fikra pia
 
Yanga bhana yote hii mawivu watembeza bakuli hakuna hata mmoja mwenye mafuta ya mgando mnakuja kunya hapa mwenzio anapaa tuu nyie roho ya korosho mnazidi kuumia
 
Yote yanawezekana maana anapoongea huwa anaacha akili zake home pale anakuwa na bichwa tupu wakati mwingine huwa nawaza huenda akawa ni mlemavu wa fikra pia
Bila shaka ana ulemavu wa akili pia.
 
Haji Manara muhuni sa.Alichowafanya Maccm Mungu anajua sasa kaja Mkorogo wa kimkia mkiaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ipate hii kwa

Tshs 260,000 tu.

Popote ulipo unaipata,
Hata mkoani.

Njoo inbox.
 
Akitangaza perfume daimondi poa ila Haji kisa ni 'albino' unamtolea maneno ya shombo na kusema hana mvuto.

Heri yako wewe mwenye mvuto.
Niliwah kushauri kuwa ni Bora kunyamaza kuliko kuongea ujinga, mtoanmada kampinga haji kwa kigezo Cha uropokaji wa haji wewe ualibinonumeutoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…