Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia.

Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu.

Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration.

Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
 
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia

Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu

Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration

Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
Perfume kwa wanawake .cologne ?
 
totally confused, wacha niendelee kutumia wakati great thinkers wanatafuta majibu sahihi

Na anti-perspirant deodorant ni nini?

Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?


Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
 
url-3.jpeg
naonaga ni perfume ya ukweli sana
 
Back
Top Bottom