Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?

Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....

Mkuu hili swali limegeuka kitendawili kisichokua na jibu wadada wanalipita kama hawaoni vile. Wanaishia kutaja aina zake bila kutupa tofauti zake.

Wadada hapa wamembwela l
 
kuna moja inanukia kama ndimu si ndimu hivi; yani haipigishi chafya hata kama una allergy ...aisee nikiijua jina naenda kumnunulia baba nanii zawadi...Nilishapishana na majamaa kama wawili wananukia hiyo perfume...nikaona nikiwauliza jina watadhani nime wa mind; nikakauka

Mi ni mmoja ya wanaovutiwa sana na perfume za kiume zile za ukweli...

Kitu kinachoongeza u smart kwa mwanaume ni pamoja na kunukia vizuri
 
Naona tuko wengi...mwanamme akitumia perfume ya ukweli namuona smart sana...inamfanya apate attention yangu...Na sidhani kama tuko peke yetu...kuna client mmoja alinitembelea ofisini ofisi mate wangu nikamuona anamkata jicho...nikajua perfume....

I think it's fantastic when men smell nice

If I walk by a guy at work/Street wearing some kind of scent,
I invariably turn around to see who it is that just passed by!!!!!!1
 
Ndio kabisa.......ninachotaka nisikie ndicho atakachopaka.........this time nataka nimsikie akinukia Euphoria for men.........na hatakiwi kuongea chochote.......

Euphoria and Armani Black code so sweet ni nzuri sana
 
Cha hajabu mimi perfume za kike nimeshajaribu zote including Chanel Mademoiselle ni chafya kwenda mbele...uwa natumia za mume wangu...kwa hiyo mdada akipiga perfume mie nakimbia maana nina allergy na perfume za kike.

Ndio maana nasubili majibu nikafanye shopping kwa ajiri yake (na mimi mwenyewe tunashare )
 
kitu mafuta ya yolanda enzi hizo 1985

Hahahaha. Japo sikuyatumia ila nimesikia wengi wakiyasifia. Nataka duka wanako uza aina flan ya mafuta yanakuwa kwenye mkebe nadhani yanaitwa (YU) KAMA SIKOSEI.
 
mkuu C.T.U.

Usione wanawake wa kibongo wamevaa wamependeza ukafikiri wanajua hivi vitu,,wengi sana pamoja na urembo wao hawajui marashi yao wala ya kiume...ujawahi kuta binti mrembo kabisa kavaa kapendeza ile mbaya ila ukimsogelea karibu unakuta ananuka majasho??mpaka credit zote unamtoa... hivi vitu vinaitaji uwe na background pia la sivyo utaishia kutumia brand za Rasasi.

Yaani mkuu Matumbo nimeshindwa kukugongea like sijakiona kitufe, umehit the bull aisee.. yaani mabinti wa bongo asilimia kubwa bureeeee kabisa bureeeeee haswa kwenye maswala ya harufu, kuna dada mmoja alikuwa ananuka kikwapa balaa nikawa najiuliza ivi yeye haisikii hiyo harufu na alivo smart vile, nikamuuliza swali la kizushi siku moja kuwa nasikia deodorant za forever living ni nzuri hazina madhara je unanishauri vp kuhusu kumnunulia wife wangu? Akanijibu aahhh mie hizo deodorant wala sijishughulishi nazo najipakia poda tu mie sitaki kansa za makwapa!!!!! Nikapata jibu kwa mashaka yangu,kumbe yeye anapiga poda hajui kwamba jasho likidizi poda huzidiwa na nguvu ya harufu haswa ya jasho la kwapani... nadhani hivi vicheni party wanavopeana wadada embu waambiane na hili la harufu pleaseeeeeeeeeeeeee
 
Tatizo la perfume ni moja...ukienda kwenye duka ambalo wana perfumes za kila aina huwezi kuchagua kwa kunusa...

Nilishawahi kunusa weeee mwisho nikaishia kununua perfume ambayo niliigawa baada ya wiki...harufi zinaingiliana; uwezi kutofautisha ...ndio maana ni vizuri umsikie mtu ananukia umuulize ndio ukanunue.
 
Unless mtu ana tatizo la kikwapa...ni bora mtu awe msafi kuliko kuparamia perfume zisizo na kichwa wala mguu

Inatesa sana ukikaa karibu na mtu aliyepiga perfume yenye harufu kali...ukioga na sabuni nzuri na kupaka lotion muda wote ngozi inatoa harufu fresh kabisa.

Na kw mwenye kikwapa perfume inaweza ikatengeneza bomu badala ya kumsaidia...nadhani perfume ni additional na si ya kuficha harufu mbaya ...usafi unahusika

Yaani mkuu Matumbo nimeshindwa kukugongea like sijakiona kitufe, umehit the bull aisee.. yaani mabinti wa bongo asilimia kubwa bureeeee kabisa bureeeeee haswa kwenye maswala ya harufu, kuna dada mmoja alikuwa ananuka kikwapa balaa nikawa najiuliza ivi yeye haisikii hiyo harufu na alivo smart vile, nikamuuliza swali la kizushi siku moja kuwa nasikia deodorant za forever living ni nzuri hazina madhara je unanishauri vp kuhusu kumnunulia wife wangu? Akanijibu aahhh mie hizo deodorant wala sijishughulishi nazo najipakia poda tu mie sitaki kansa za makwapa!!!!! Nikapata jibu kwa mashaka yangu,kumbe yeye anapiga poda hajui kwamba jasho likidizi poda huzidiwa na nguvu ya harufu haswa ya jasho la kwapani... nadhani hivi vicheni party wanavopeana wadada embu waambiane na hili la harufu pleaseeeeeeeeeeeeee
 
Yaa
Kiukweli napenda mwanaume anukie! Yaani ht akiwa anakuja najua he s coming, nishasikis ile cologne na si nyingine ni isimiaki/isymiaki.am nt sure na spelling!!!!

Akinisogelea/akinikumbatia baaaaas

issey miyake....been using that for more than ten years now......
 
issey miyake....been using that for more than ten years now......

Yeah Issey Miyake, Fahrenheit, Hugo Boss, Lacoste, Copa Cabbana, Escada 4 men etc etc..... Hizi ni kali sana.... Wadada kina Lara1, Madame B, Heaven on Earth, Christine Ibrahim, Faiza Foxy, na wengine watakwambia, Givenchy,....
 
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?

Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....

jina la jumla kwa zooote ni FRAGRANCE...
kulingana na ukali wa harufu ndio zinakuwa categorized natural/bady spray,eau de toillete na eau de perfum

za wanaume zinaishia eau de toilette[hazinukii sana] mara nyingi huitwa cologne.....za wanawake ziko level ya eau de perfum very strong....basically wanaume wanatumia cologne[eau de toillete] na wanawake wanatumia perfume

Deodorant is applied to reduce/cut body odor....antiperspirant is a deodorant which not only reduce odor but also stops sweating......

nimejaribu kidogo kwa uelewa wangu.
 
Hiyo ni ya kike.......(nadhani).......na kuna eau de perfume.......ndio naona ipo poa......
utakuwa unachanganya but chanel za kiume zipo na za kike zipo pia
 
url-3.jpeg
naonaga ni perfume ya ukweli sana

utasikiabei yake 20000 mweeh mie mwisho 6000 kununua vitu hivyo.
 
Back
Top Bottom