Na anti-perspirant deodorant ni nini?
Perfume kwa wanawake .cologne ?Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia
Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu
Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration
Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
Mafuta ya nazi...tu hakuna cha perfume wala fragnance wala cologne!!
Na anti-perspirant deodorant ni nini?
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?
Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?
Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
naonaga ni perfume ya ukweli sana
yah sometimes,but ndo nayoipenda.yeah Chance ni ya ukweli......hiyo ndo wewe waitumia