Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Duh,kuna mtu aliniambia ni laki 5,OG...inawezekana aisee! Ile kitu ni nomaaa
 
Mimi natumia Brown Orchid huyu mnyama namkubali Sana Huyu hajawahi kuniangusha
 
Wanawake ama wasichana? Sijui kama kuna mwanamke aliyekomaa anayewaza mambo ya perfume.
 
Naomba tusaidiane maduka ya perfumes og Dar. Nimegundua feki ni nyingi kuliko OG na unauziwa bei zilezile
 
Hii kitu ni balaa kuna mdadake mshkaji wangu alinambia, ulikua uki ondoka home ktk koch harufu haishi hata 2days,!!
 
Wengine wanapenda zaidi natural smell ya mtu kuliko ya perfume.
 
ina maajabu gani mpaka inauzwa laki nne au ndo brand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…