Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Basi namie unichukulie yakhee!Sijui tz kama zipo, hapa UK zipo na bei £3.50 -£5
Nimeona jamaa wengi wakiwa chukulia jamaa zao kama zawadi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi namie unichukulie yakhee!Sijui tz kama zipo, hapa UK zipo na bei £3.50 -£5
Nimeona jamaa wengi wakiwa chukulia jamaa zao kama zawadi.
Usijali leave your name and contact number in inboxBasi namie unichukulie yakhee!
Okay... Ukikaribia kuja nitakupatia yakhee!Usijali leave your name and contact number in inbox
Just leave a message, sitoweza kukutafuta humu JF,itakuwa easy kwangu kukuona inbox yakheeOkay... Ukikaribia kuja nitakupatia yakhee!
Haya yakhee!Just leave a message, sitoweza kukutafuta humu JF,itakuwa easy kwangu kukuona inbox yakhee
Rinju lotion zipo dar na zenji pia!tembelea maduka makubwa ya vipodozi huwezi zikosa...ni nzuri kweli nilikuwa nikitumia miaka ya nyuma.Hiyo Rinju bei gani?
Rinju Mi nlitumia wakati huo ilikua rinju kweli. Ikiuzwa elfu 15 tena pharmacy kubwa tu.Rinju lotion zipo dar na zenji pia!tembelea maduka makubwa ya vipodozi huwezi zikosa...ni nzuri kweli nilikuwa nikitumia miaka ya nyuma.
bei yake kwa zenji ni 10000-9000, na kwa dar ni kati ya 12 elfu mpk elfu 9.5.
Ahsante.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]ongeza sifur moja mbele,, kama n buku 6 nunua. klusumu" hii uhakika kaka Omary wiki nzima huna haja ya kujipulizia
Hahahaha jamani mbavu sinaWengine harufu ya pu-mbu tu hoi!
Lazima mwanaume uwe na kajasho Fulani hivimii nikitaka kum atract mwanamke nahakikisha nanukia kiume
Perfume ajipulizie yeye.. mwanaume kujipulizia marashi kama sikubaliani nayo.
Try Nivea dry impactHi wanajukwaa naomba mwenye kujua pafume yenye harufu safi na kudumu kwa muda mrefu isiyozidi 6000Tsh