Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Davidoff_Summer_Seas_400x292pxls.jpg
 
Hiyo Rinju bei gani?
Rinju lotion zipo dar na zenji pia!tembelea maduka makubwa ya vipodozi huwezi zikosa...ni nzuri kweli nilikuwa nikitumia miaka ya nyuma.
bei yake kwa zenji ni 10000-9000, na kwa dar ni kati ya 12 elfu mpk elfu 9.5.
Ahsante.
 
Rinju Mi nlitumia wakati huo ilikua rinju kweli. Ikiuzwa elfu 15 tena pharmacy kubwa tu.

Saivi naona zipo wanachakachua. Hata razaak zilikuwa Nzuri. Zikiuzwa elfu 20.
 
Hi wanajukwaa naomba mwenye kujua pafume yenye harufu safi na kudumu kwa muda mrefu isiyozidi 6000Tsh
 
ongeza sifur moja mbele,, kama n buku 6 nunua. klusumu" hii uhakika kaka Omary wiki nzima huna haja ya kujipulizia
 
mii nikitaka kum atract mwanamke nahakikisha nanukia kiume
Perfume ajipulizie yeye.. mwanaume kujipulizia marashi kama sikubaliani nayo.
Lazima mwanaume uwe na kajasho Fulani hivi
 
Sasa utapempenda kila mwanaume anae nukia aaa mtoa Uzi vipi mbn km sijaelewa nieleweshewe ni bebe wako amaaaaa,, maana km ni bebe km je uwezo hana!??
 
Mie natumia temptation for 10years now. Toka inauzwa 9000 mpaka sasa 25000
 
Back
Top Bottom