Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Nasisitiza tutumie vitu vya asili
Vya kale ni dhahabu ndo ilikuwa mtama kwa watoto enzi hizo.Kuna siku niliingia pale mwenge puma petrol station kwenye kile ka min shop yao nikakuta mafuta ya Yolanda nilicheka hadi wahudumu wakanishangaa, nikanunua kimoja baada ya 2 days naende kumchukulia mtu nikakuta vimeisha