Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1?

Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1?

Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
em acha utani jombaa wenzako wanawaza namna ya kutafuta pesa na kuweka mambo sawa we unawaza pafyum......Looh umenichosha kabisa[emoji27] [emoji27]
 
Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
Kuna siku nilikutana na diamond pale makumbusho kiukweli huyu superstar anatumia hizo anazozitaka mtoa Maada. Zinauzwa laki mbili tu na nusu
 
Du LAPTOP2016 hapo chenye bei kubwa ni hiyo chupa sio hayo maji humo ndani
 
Mwezi ? basi hao ma-designer watakosa biashara loh ...unyunyu tu mwezi kwenye nguo
 
Ipo mbona mimi natumia emotion hata ukifua nguo n uzivae bila kupuliza bado inanukia tuu
Mhh hiyo nguo haifuliwi itakuwa inawekwa kwenye maji na kutolewa kwa hizi perfume zetu za 30 mpaka 40 sahau labda ukanunue zile za 180, 000 kuendelea
 
Ingia google ucheki perfume.com pale utaona perfume zote nzuri za kike na za kiume,na nyingi zinauzwa hapa dar kwenye maduka makubwa pale mlimani city,maeneo ya namanga,kuna duka la walebanon pale mitaa ya peakok hotel ila sijui kama bado lipo.
 
Back
Top Bottom