Juma WALEO
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 204
- 40
Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani?
Mwenye ushuhuda atujuze.
Mwenye ushuhuda atujuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!
Kuna 'power' kwenye pafyumu ila si kupenda.
Ni tsh ngapi na inapatikana maduka gani mkuu!!
Hongera naona leo umeandika mwandiko wa kulaza/ mcharango....
Perfume ipi sasa unayoulizia bei ndugu?
Kuna hii inaitwa YU.......au Cobra.......hizi tumezipa jina la ulimbo.........khaaaaa!!!!.......zinanasa..........