Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Kunukia vizuri iko hata scientifically proven kuwa inaongeza attraction. Someni phermones. Ila inabisi iwe ORIGINAL sio hizi smart collection!
Natumia kitu paco robanne na YSL hehehe hadi nawaoneaga huruma watoto wakike.

Mmmmh...vipi wakipita karibu yako wanaweweseka au??
 
Hakuna kama MUSK uipate origino basi hii ina hatari moja wale dizaini za akina aunty nao pia watakufuta na kujipanga kama watoto wa bata yaani hii inawachanganya ,yaani akiisikia harufu yake tu basi mawazo yanahama na kuenda sehemu fulani kama jambo la dharura.
 
pheromones-love-1.jpg

Hahahahaha
 
Some men smell so good, you wanna eat them whole!
 
Kweli shetani mjanja......
Anatengeneza ma perfume ili watu watamaniane kungonoana.....!
Balaaa hili..........!
 
yan mie nikisikia perfume kichwa kinaniuma siku nzima..i like the man mwenye harufu yake natural ili mrad asinuke kibeberu
 
Mi nachojua napenda mwanaume anayenukia vizuri na si kunuka kibeberu...

Yaani kuna wengine balaaahh.....utakuta mtu ananuka mijasho hata hajishtukii eti anataka akuhug na kukiss aaaaaaahhhh..... mie hata cpendi asee.. nilishawahi kuwa na mtu wa hivyo hata tulivyoachana sikujutaaaa, coz unajitaahidi kumbadilisha habadiliki.
 
Back
Top Bottom