Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Quotation-Kelly-Rowland-good-love-Meetville-Quotes-25816.jpg
 
Kunukia vizuri iko hata scientifically proven kuwa inaongeza attraction. Someni phermones. Ila inabisi iwe ORIGINAL sio hizi smart collection!
Natumia kitu paco robanne na YSL hehehe hadi nawaoneaga huruma watoto wakike.
 
hii ya perfum ndo kwanza naisikia leo?
Eti inaleta mhemko wa mapenzi? Makubwaaa
 
Kunukia vizuri iko hata scientifically proven kuwa inaongeza attraction. Someni phermones. Ila inabisi iwe ORIGINAL sio hizi smart collection!
Natumia kitu paco robanne na YSL hehehe hadi nawaoneaga huruma watoto wakike.

heheee! wanazimika na yako perfume!
 
Inategemea/inawezekana mkuu ila sio kwa asilimia mia moja

Sidhani kama kuna perfume maalum, sababu kila mtu ana aina ya unukiaji anaoupenda yeye

Pengine utakayoipenda wewe mtu mwingine haimvutii na kinyume chake hali kadhalika
 
Perume peke yake hapana there must be another factor na perfume iwe ni extra.
 
Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!

Kama perfume ingebadili sura ya mtu ingewezekana lakn kwa sasa ni imposible.
 
perfume(manukato) yanaleta hali ya kingono kwa wale ambao vichocheo vyao vya mihemko ya kingono ni pamoja na harufu. Ila sidhani kama inaweza kukufanya umpende mtu.
Antonio by Antonio Banderas huhuhu ni noma.
 
Inasaidia harufu mbaya zijifichee maana kuna wengine harufu zao kama kondoo au mbuzii
 
Back
Top Bottom