Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Tumia one million ya Paco Rabbane...kitu gold tupu,,watoto wazuri wote lazima wapandishe tops juu
 
Ni kweli harufu nzr ina nafasi kubwa kwenye mapenzi na virse versa
 
mkuu ..mtafutie mkeo zara womam 11.corso vittorio emanuele milano
ka ujachapiwa ndani ya mwezi
 
Nipeni basi top 5 za perfume zinazobamba!

Zipo perfume nzuri kutoka Oriflame kwa bei nafuu,,ni nzuri mnoo..ukihitaji tutafutane kwa 0655868643!
 

Attachments

  • 1411736657105.jpg
    1411736657105.jpg
    22.6 KB · Views: 525
  • 1411736674713.jpg
    1411736674713.jpg
    15.7 KB · Views: 435
  • 1411736690420.jpg
    1411736690420.jpg
    28.5 KB · Views: 433
  • 1411736705612.jpg
    1411736705612.jpg
    9.7 KB · Views: 399
  • 1411736726819.jpg
    1411736726819.jpg
    12.6 KB · Views: 399
Nimekuwa nikisikia
pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani?
mwenye ushuhuda atujuze!

perfume tuuu? dah napenda malashi ila bila other some escots BIG NOOOO
 
Haijanitokea kumpenda mrembo kwa perfume.



 
Last edited by a moderator:
Hii siyo formulae.Waweza paka hiyo perfume still usinishawishi. Mimi sipendi kabisa harufu ya perfume....Napenda kitu natural. Usione mtu kajilipua na hiyo perfume basi maskio na nyege zikakupanda kama beberu... Perfume hizi zinaficha mengi sana. Watumiaji wana siri kubwa sana kuliko unavyoweza kufikiri.....
 
Mie jamani my Hubby aki pulizia Mont Blanc Legend, By Mont Blanc Polo black au channel Sports by channel yani nataka nimnuse24/7 ...
 
Back
Top Bottom