Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,458
- 983
Mi nachojua napenda mwanaume anayenukia vizuri na si kunuka kibeberu...
Hata sis tunapenda wanawake wanaonukia vizuri, na sio vyenginevyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nachojua napenda mwanaume anayenukia vizuri na si kunuka kibeberu...
Ni tsh ngapi na inapatikana maduka gani mkuu!!
Kuna hii inaitwa YU.......au Cobra.......hizi tumezipa jina la ulimbo.........khaaaaa!!!!.......zinanasa..........
Mbona hizo za siku nyingi sana asee
Drakkar Noir for men inavuta wanawake hata kama huna hela au hujui kutongoza.Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!
Ndio nzuri......unyunyu wake umetulia..........
si nimesema kupenda ni moyo?
au unadhani kupenda ni utajiri?
hahahaha tangu lini umeanza kuamini kuwa kupenda ni moyo
tangu nipewe zawadi ya JF GOLD MEMBER! LOLZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahahahaha hongera basi itabidi uwe team rafiki sasa
kwani kuwa teamrafiki ndio umesamehewa dhambi zako zote?
kwani ninyi teamR hamtendi dhambi?
sisi sio malaika tunatenda bila kukusudia sometime na tunapogundua haraka tunatubu
basi nikwambie ukweli, viongozi wenu ni madikteta.. they act before thinking..
na wakigundua wamekosea, hawako radhi kuomba msamaha..
na mwenye dhambi akiomba fursa kuingia, wanakuwa wanyooshaji vidole wa kwanza badala ya kumrudisha kundini! LOL!
basi usijali Excel hilo litapatiwa ufumbuzi mi nataka uwe miongoni mwetu
Mmmh sidhani umenikumbusha nikiwa nasoma nilikuwa natumia seduction nilikuwa naipendaje inanukia utamu acha kabisa