brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
haya buddy! kumbuka wewe una 0 kwenye likes given..!! hahahaaaa!!
Hahahah...unamkaribishaje mgeni hivo lakin...huku usukumani hio ni dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya buddy! kumbuka wewe una 0 kwenye likes given..!! hahahaaaa!!
Kunukia vizuri iko hata scientifically proven kuwa inaongeza attraction. Someni phermones. Ila inabisi iwe ORIGINAL sio hizi smart collection!
Natumia kitu paco robanne na YSL hehehe hadi nawaoneaga huruma watoto wakike.
mkuu ..mtafutie mkeo zara womam 11.corso vittorio emanuele milano
ka ujachapiwa ndani ya mwezi
hahahaha sio rahisisafi sana... angalia wasije wakafunga kampuni.
hahahaha tangu lini umeanza kuamini kuwa kupenda ni moyo
wacha weee
...natumia mafuta ya nazi na nawakamata ile mbaya...
nakuja iringa in the next two weeks..kaa mkao wa kupakuliwa
ndio manake.....
Wapo wengi....hahahaha...nimekumiss
nimekumiss pia, sio sana lakini. lol! uko poa eeh?
Mi nachojua napenda mwanaume anayenukia vizuri na si kunuka kibeberu...