HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Si bora angejinyunyiza harufu za kueleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we acha tu mtu ana-rub it to your face ili mjue kuwa na yeye yumo.
vinaitwa EU DE TOILETTE SPRAY
Sibora angejinyunyiza harufu za kueleweka.
Umeongea vizuri sana..Ni kama upanga ukatao kuwili.. The same goes to you kama unapenda perfume light usilazimishe na wenziOo wazipende..unachopenda wewe usilazimishe na wengine wakipende
halafu unakuta ni mwanaume,
wanaume wengine wanajifukiza na udi jamani..loh kizazi hiki cha dot com ...mmmh
kuweni simple kama my sweet baby!
vinaitwa EU DE TOILETTE SPRAY
Umeongea vizuri sana..Ni kama upanga ukatao kuwili.. The same goes to you kama unapenda perfume light usilazimishe na wenziOo wazipende..
Suala ni moja tu..WE WILL NEVER BE THE SAME..TUVUMILIANE..
Badly hamjui hata mlisemalo.Hivi tatizo ni mjipuliziaji au mtengenezaji? Halafu mimi naona ni tatizo la kiafya la huyo mlalamikaji - kapime allergy, yaani lazima utakuwa na allergy.
Nenda kashitaki TFDA ili mtengenezaji afunguliwe mashitaka!!!!
Umeongea vizuri sana..Ni kama upanga ukatao kuwili.. The same goes to you kama unapenda perfume light usilazimishe na wenziOo wazipende..
Suala ni moja tu..WE WILL NEVER BE THE SAME..TUVUMILIANE..
Hivi tatizo ni mjipuliziaji au mtengenezaji? Halafu mimi naona ni tatizo la kiafya la huyo mlalamikaji - kapime allergy, yaani lazima utakuwa na allergy.
Nenda kashitaki TFDA ili mtengenezaji afunguliwe mashitaka!!!!
Ukute hata watumiaji wenyewe wanalalamika hapa...hii nchi bwana unafiki unafiki tu..na kila mtu kujifanya anajua..
Mmoja kasema eti mwanaume kupaka pefume ni ushoga...my foot...nje ya keyboard utamkuta kapigilia unyunyu..
Hapa ninachokiona nadhani tuelimishane tu...mambo mengi wengi wetu tumeyakuta ukubwani..(kule vjjn kuna cologne?)
Tuache kuwaita watumiaji majina mabaya like ulimbukeni, washamba, mijitu and the likes...wote tungekuwa na adabu tunazozisema humu wala tusingekuwa tunagombea daladala hadi kupitia madirishani...most of us are still ignorant to some of the issues...
Wewe ndo hujui usemalo..tatizo lenu mnataka kulazimisha watu kufanya mtakayo in the name of modernization mkiwaita wenzenu washamba.Badly hamjui hata mlisemalo.
queeny kwa hiyo ulitaka mtu ajipulize perfume halafu ajifungie chumbani? Acheni hizo wapeni watu uhuru wao as long as havunji sheria na haki za binadamu.Dunia ni ya woteu dont understand. its ur perfume na ibaki kuwa yako. mtu anajipulizia perfume ukikaa naye dakika mbili, nawe unatoka hapo unanukia utafikiri nawe umepulizia perfume yake.
Like like like!!!Ukute hata watumiaji wenyewe wanalalamika hapa...hii nchi bwana unafiki unafiki tu..na kila mtu kujifanya anajua..
Mmoja kasema eti mwanaume kupaka pefume ni ushoga...my foot...nje ya keyboard utamkuta kapigilia unyunyu..
Hapa ninachokiona nadhani tuelimishane tu...mambo mengi wengi wetu tumeyakuta ukubwani..(kule vjjn kuna cologne?)
Tuache kuwaita watumiaji majina mabaya like ulimbukeni, washamba, mijitu and the likes...wote tungekuwa na adabu tunazozisema humu wala tusingekuwa tunagombea daladala hadi kupitia madirishani...most of us are still ignorant to some of the issues...
kama hujui nature ya kitu bora ukiache. sasa mtu anajipulizia ya maiti kweli inakuja?
Si lazima kujipulizia perfume, unaweza kuogea sabuni kama Protex Herbal inatosha au sabuni nyingine inaitwa Breeze. cha msingi utakiwi kunuka kama beberu.Wewe ndo hujui usemalo..tatizo lenu mnataka kulazimisha watu kufanya mtakayo in the name of modernization mkiwaita wenzenu washamba.
Kwa taarifa yako mimi hata nikijipulizia perfum nasikia kutapika.Labda iwe very light tena yenye harufu ya matunda. Lakni siwezi lazimisha mtu awe kama mimi