INAUZWA Perfume nzuri kwa bei ya kawaida

INAUZWA Perfume nzuri kwa bei ya kawaida

lookmoney

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
417
Reaction score
164
IMG_2423.jpg



Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa.

1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu.

2. Oud 24 perfume.Perfume hii ni inapendeza kutumiwa na jinisia zote ni nzuri saana na inakaa saana kwenye nguo nayo ni 32,000 tsh tu.

3. Sultan al shabab.Perfume ya kiume inayokaa kwenye nguo si chini ya saa 42 inanukia vizuri mnoo,hii inakwenda kwa 32,000tsh.

4. Najdia perfume spary.Hupendwa zaidi na wanaume ila hata wadada na wamama inafaa kabisa maana inaharufu nzuri yenye kupendeza nayo ni 32,000tsh tu.

5. Oud mood lattafa design.Chaguo boraa saana kwa wanawake kwa Harufu yake tami ya oud iliyotulia ,hii ni 35,000tsh tu.

6. Rams lattafa.Ni perfume yenye harufu mardidad kwa jinsia zote inayodumu kwenye nguo kwa muda mrefu,utapata lwa 32,000tsh.

Usafiri ni bure kwa wakazi wa Dar es Salaam kama ukichukua kuanzia 2 na kuendelea.

Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu.

Tunauza jumla na rejareja, tupate 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika dukani kwetu magomeni mikumi mtaa wa ifunda kuona bidhaa zetu mbali mbali.

NB; Perfume zote hizo zinadumu kwa muda mrefu kwenye nguo,Hakika hutojutia kujipatia yako.
 
DON’T PLAN TO MISS THIS,MAAANA ZIPO CHACHEE MNO

Unapata perfume long lasting,Bodyspray kalii,Air freshner pamoja na Udi saafi inakufanya unukie wewe pamoja na mazingira yako.

Kama hutaki full set.

Perfume@32,000tsh
Bodyspray@7,000tsh
Airfeshner@7,000tsh
Oud@20,000tsh

715c51f5-649a-44cc-bf97-c9487df31001.jpg
.
97552cbc-cce2-48b8-abcf-45df22394fc2.jpg

54337ddc-f4e4-4802-8368-5c5dbe7425b0.jpg

7e835630-357c-4c71-8a74-6d605f876d71.jpg

29e25710-83c6-4ad1-8174-d3b590d80854.jpg

e73e83d2-fbe7-4b2c-bc0d-aca849e2b019.jpg

IMG_5393.jpg

IMG_5392.jpg

IMG_5390.jpg


Tupigie kwa 0744551655, au text whatsapp kwa 0782579015 Au fika Dukani kwetu magomeni mikumi kwa maelezo na kuona bidhaa zetu zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: 911
DIRHAM GOLD & AHLAAMAK PERFUME.

Tukiwa tunaadhimisha siku ya wanawake duniani, Leo nimewaletea perfume bora kabisa kwa wakina mama (Dirham gold na ahlaamak).

IMG_0368.jpg


Perfume hizi zote ni za UDI na zinakaa kwenye nguo si chini ya saa 8.
Dirham gold harufu yake imepoa sio kali na wala haipalii, Ahlaamak ina harufu kalii ambapo ukipaka basi unapopita lazima uache gumzo na ukiingia sehem lazima watu wajiulize ni nani aliyeengia.

• Ebu nambie we unapenda ipi kati ya hizo mbili.!?? Dirham yenye harufu tulivu au Ahlaamak yenye harufu kali.!!??
•Utapata kwa 27,000tsh kila moja, Text, call or whatssaap 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika dukani kwetu magomeni mikumi kupata chaguo lako.
IMG_0370.jpg

IMG_0369.jpg
 
Leo tena nimewachangulia perfume mbili bora OUD MOOD ambayo hupendwa saana na wanawake na SULTAN AL SHABAAB inayopendwa na wanaume.

IMG_0389.jpg

Oud mood ni perfume ya kike yenye harufu ya udi ulio kolea kabisa mwanamke akipaka hii ni sawa na mtu aliyekifukiza udi,ni nzuri saana kuchanganya na perume za kizungu.

Sultan al shabab ni perfume ya kiume yenye mchanganyiko wa zabibu na majani ya violet, Harufu yake ni kalii ila haikeri.

•Zote harufu zake zinadumu kwenye nguo si chini ya saa 8.

Kama ungependa tumia moja kati hizo text, call au whatssapp kwa 0744551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi upate kwa 32,000tsh, US6AFIRI NI BURE KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA WAMIKOANI PIA.
IMG_0391.jpg



IMG_0390.jpg
 
DAAREJ POUR HOMME RASSASI.

IMG_0409.jpg



Perfume hii toka kampuni ya RASASI imeletwa makhsusi kwa ajili ya wanaume na baadhi ya wanawake wanaopenda perfume za kiume.

Harufu flani hivi ya kiboss, iliyopoa,isiyo kera na yenye kukaaa mda mrefu kwenye nguo.

>Sio maarufu kama perfume nyingine ila nakuhakikishia ukitumia mara moja inawezekana kabisa ukasahau kuhusu perfume nyingine zooote ulizowahi tumia.

Hutakiwi kukosa hiii nipigie 0744551655 au njoo uchukue dukani kwetu magomeni mikumi kwa 55,000tsh .

> You’ll never be disappointed, I promise you.
IMG_0410.jpg
 
SAMA DUBAI AU DAR AL SHABAB PERFUME.!??

Unapenda kunukiaje leo.!?? Nimewaletea perfume mbili nzuri, Sama dubai kwa ajili ya wanawake na Dar al shabaab kwa wanaume.

Sama dubai ina harufu iliyopoa na haikeri ni chaguo bora saana kwa wanawake, Dar al shabaab hii inakuwa na body-spray yenye harufu iliyokolea haipoi wala haiboi yaani unanukia vizuri kuanzia umejipulizia mpaka unapobadilisha nguo.

Zote hizo unatizipata kwa 32,000tsh ( Usafiri bure kwa wakazi wa mikoani na badhi ya maneo kwa DSM)

Fika dukani kwetu magomeni mikumi au text,call or whatssapp 0744551655 kuweka oder yako.


IMG_0424.jpg

IMG_0422.jpg

IMG_0420.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwan al shabab maanake vita.!?
 
Back
Top Bottom