lookmoney
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 417
- 164
Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa.
1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu.
2. Oud 24 perfume.Perfume hii ni inapendeza kutumiwa na jinisia zote ni nzuri saana na inakaa saana kwenye nguo nayo ni 32,000 tsh tu.
3. Sultan al shabab.Perfume ya kiume inayokaa kwenye nguo si chini ya saa 42 inanukia vizuri mnoo,hii inakwenda kwa 32,000tsh.
4. Najdia perfume spary.Hupendwa zaidi na wanaume ila hata wadada na wamama inafaa kabisa maana inaharufu nzuri yenye kupendeza nayo ni 32,000tsh tu.
5. Oud mood lattafa design.Chaguo boraa saana kwa wanawake kwa Harufu yake tami ya oud iliyotulia ,hii ni 35,000tsh tu.
6. Rams lattafa.Ni perfume yenye harufu mardidad kwa jinsia zote inayodumu kwenye nguo kwa muda mrefu,utapata lwa 32,000tsh.
Usafiri ni bure kwa wakazi wa Dar es Salaam kama ukichukua kuanzia 2 na kuendelea.
Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu.
Tunauza jumla na rejareja, tupate 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika dukani kwetu magomeni mikumi mtaa wa ifunda kuona bidhaa zetu mbali mbali.
NB; Perfume zote hizo zinadumu kwa muda mrefu kwenye nguo,Hakika hutojutia kujipatia yako.