monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa
Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa haziniletei mafua wala kichwa kuuma
Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa haziniletei mafua wala kichwa kuuma