monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Hakika..
Sema umepata kazi kwenye Duka la Perfume,sio kusema eti umepata kazi karibu na dula la perfume,
Ila tangazo limeeleweka mkuu.
Ningepata kazi kwenye hilo duka si ningelinga hilo duka ni la mzungu lipo pale terminal 3 ghorofa ya 3 na wafanyakazi hapo wanalipwa vizuri sana ni DUTY FREEAmepata kazi karibu na duka mkuu yaani anamaanisha yeye ni winga kwenye hilo duka
Ningepata kazi kwenye hilo duka si ningelinga hilo duka ni la mzungu lipo pale terminal 3 ghorofa ya 3 na wafanyakazi hapo wanalipwa vizuri sana ni DUTY FREE
Ďuh..Yaani ungeringa kufanya kazi kwenye duka la mwanaume mwenzio [emoji28]