Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Sasa hili si jukwaa la elimu! MODS peleka kwenye jukwaa la UTANI NA UDAKU huko!fyuuuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni post ya mwisho kukujibu mi si mtoto mwenzio kama unataka ligi hapa umefika ahsante.
na we hauna kazi za kufanya huko uliko au,maana ni muda wa kazi huu?
Hivi nyie vichaa mnatokea wapi hapa Tanzania.
lusungo anaongea point sana huwezi jilinganidha nayena wewe usiwe kama 'lusungo' mbebez!!
ile ban haijakutosha??? kwa mbali bado una vichembechembe vya zamani badilika bwana.kwani ofisini mda wote huwa tunafanya kazi??
ile ban haijakutosha??? kwa mbali bado una vichembechembe vya zamani badilika bwana.kwani ofisini mda wote huwa tunafanya kazi??
Mkuu waache dawa yao kupuuzwa MTU mzima si rahisi kufanya huo upuuzi kubishana nao ni kuwapa bichwa na kupoteza mda max atashughulika nao kuna mmoja wao ndo yule alieleta thread ya mpigamsuli kwa ID nyingine sasa tulia wakubwa tufanye yetu kama wameingia JF kuleta ligi watakwisha.
we endelea na maisha yako tu kijana,usiwaze kuhusu mimi.
Mi siwazi hata...
Huu mtindo wa kuanzisha ligi za kijinga si mzuri hasa huyo anayeita watu mbebez now kuna teknolojia ya Ku track IP address mi sasa hivi sijibishani na punguani akileta matusi tutamalizana kitaa...
sasa upunguani wangu uko wapi?kwani nimegusia masuala ya ligi?