Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
Ulishawahi kuona wapi mtu mkubwakama Jaji Mkuu, anaenda nchi nyingine kusapoti mpinzani wa nchi ile? au waziri mstaafu? na je, anaweza kwenda huko bila kuruhusiwa na nchi yake? jaji mkuu analindwa na kuhudumiwa na serikali maisha yake yote, hata akienda mkoa jirani anaomba ruhusa. hii nimeikuta discussion sehemu, wametumwa na rais wao au wamekuja tu? na kama wamekuja tu, rais wao alitutonya? kama hawajatumwa na rais wao, basi wametumwa na wazungu, sisi tufanyeje?
kwa wasiojua, huu ni mpango mkakati wa wazungu kutafuta sababu ya kuingilia utawala wa M7 na SAMIA kwani kwa kenya wameshaingia, ili nchi hizi tatu waziweke mfukoni mwao.
binafsi naona hao ni watu hatari kwa nchi yetu, lengo lao ni kusambaza tabia za vurugu na fujo Tanzania ili tuvurugane tusifanye maendeleo. kwa sababu hiyo, naomba serikali ya Tanzania ipige persona non grata (yaani marufuku ya kukanyaga Tanzania maisha yao yote labda itenguliwe) kwa hawa wafuatao:
1. Retired Justice DR. Willy Mutunga
2. Retired Justice David Kenani Maraga
3. Martha Wangari Karua
hawa vinyangarika wengine kama Agatha na Mwangi, nadhani wameshaadibishwa wamejifunza na hawatakuja kukubali kukanyaga Tanzania hata wapewe pesa kiasi gani.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba, wanaojiita wanaharakati toka kenya na uganda, wamekuja kuharibu zaidi siasa za tz badala ya kutengeneza. CJ na waziri mstaafu kuja hapa na kusapoti CDM waziwazi bila kuzingatia claims za serikali,imeonyesha biasness kubwa mno na kwamba TL ni ajenti wa watu wa nje sio wa ndani jambo lililomharibia sana CV zaidi ya ilivyokuwa kabla.
2. Kitendo cha wakenya kuwa na uchungu na TL kuliko hata watz, kinatia mashaka, na kinaifanya sasa CDM ionekane ni puppet party ya wazungu wanaopitia kenya kuingia hapa Tanzania.
3. Hakuna hata siku moja mkenya aliwahi kumwazia mema mtanzania, sisi ni washindani, nchi yetu imetulia hata kama tunaumizana ila hatuna fujo, maendeleo yanaonekana, jambo hilo wakenya linawakwaza sana na wanaogopa tutawapita. wanatamani tuwe na siasa kama za kwao, za fujo na kupigana ili tukwamie hapo.
4. Wazungu wametutafuta sana, ni kweli tuna mapungufu yetu, ila lengo la wazungu ni kama la wakenya, hawana lengo la kutuendeleza, ila kutunyonya na kututawala. baada ya kushindwa, wameamua kuingilia kenya, wanaharakati wa kenya wanaolipwa wapenyeze harakati hizo Tz ili pachafuke na wao waingie au wapate kiongozi wa upinzani aliyefyatuka wamtumie kuvuruga. tuwe makini.
5. Mimi siipendi ccm, ila pia sitaki nchi yangu iingiliwe na wakenya,waganda au wazungu, tuna matatizo ila tutayatatua sisi wenyewe bila influence toka nje kwa sababu hakuna mtu wa nje atatutakia mema, hayupo. hakuna mtu wa nje atailinda nchi yetu au kuwa na uchungu na nchi yetu.wote waliokuja hapa ni wanalipwa nawazungu, kuanzia MARAGA, MUTUNGI,KARUA NA MWANGI. hao wote wanapokea mgao toka kwa wazungu kujifanya wanaharakati ili kuvuruga east africa, na kuna watanzania wanawachekea.
NAOMBA SERIKALI IWE NA MENO ZAIDI YA HAYA LINAPOKUJA SUALA LA MTU WA NJE KUJA KUVURUGA NCHI YETU, TOENI FUNDISHO ILI WASIWEPO WENGINE KABISA. sisemi muue ila washughulikieni kisheria vya kutosha.