"Persona non grata" itolewe kwa baadhi ya raia wa nje ili liwe fundisho!

"Persona non grata" itolewe kwa baadhi ya raia wa nje ili liwe fundisho!

Mkuu wakenya hawajawahi kuipenda nchi hii, historia inaonyesha hivyo na mpaka leo tunaona mitazamo yao wakiwa nyuma ya internet
Mtu kutoka Kenya kuja kusikiliza Kesi ili aongeze maarifa kwako ni tatizo ila mtu kutoka China kuja kuchimba madini kinyume na utaratibu kwako sawa au mtu kutoka Abuu Dhabi kuja kuwinda na kuondoka na wanyama Hai sawa.

Wananchi kukamatwa na polisi na kubakwa bila kupelekwa kwenye vyombo vya sheria kwako sawa (wanatiwa adabu). Then ukaa unasumbua watu na upuuzi wako.
 
Intelenjesia inajuwa mambo mengi kuliko wewe, wale watu wametumwa. Kuna watu wako nyuma ndio sponsors wa kila kitu. Hatukubali watu kuja kutuvuruga
 
Intelenjesia inajuwa mambo mengi kuliko wewe, wale watu wametumwa. Kuna watu wako nyuma ndio sponsors wa kila kitu. Hatukubali watu kuja kutuvuruga
Ndiyo kuwabaka na kuwaachia wakajipange tena? Poor mind
 
Lisu sio mpinzani wa serikali Lisu ni mwenyekiti wa chama cha siasa kilichosajiliwa na serikali. Mnaumia kuwaona watu wanakuja kumsupport lisu kwa sababu ya mentality mlioijenga kwamba usipokuwa ccm basi we unapinga serikali. CCM wanaleta watu kibao hapa nchini kutoka hadi ulaya, tumeshuhudia mpaka wachina wanavalishwa kijani kwenye shughuli za chama. Chadema wakileta supporters mnawaterm kwamba wanaingilia mambo ya ndani nchi. Kwa hiyo wakija wa ccm hawaingilii mambo ya ndani ila wakija wa chadema wanaingilia mambo ya ndani. Mtawamaliza vijana wanao kosoa kuwaua huku mnalea ufisadi ambao unaua kundi kubwa la wananchi kwa sababu ya mentality kama hizo.
unakubaliana na mimi kwamba pamoja na kwamba wengi tunampenda lisu, tunamwamini na mara zote huongea hoja zenye mashiko, bado ana upungufu wa hekima na busara? kivipi, maneno yake mengi huwa na viashiria vya violence na matusi, hana heshima na hilo ndilo limemgharimu na kugarimu chama. akija kutoka, mnaweza kumshauri apigane kwa akili badala ya nguvu?
 
Intelenjesia inajuwa mambo mengi kuliko wewe, wale watu wametumwa. Kuna watu wako nyuma ndio sponsors wa kila kitu. Hatukubali watu kuja kutuvuruga
imagine, hao wakenya wamekuja bongo, kama huyo mwandishi, anaishi hotel ya kulipa dola 400 kwa siku, kalipiwa kila kitu. kwa kipi hasa, kuna matajiri mashoga wa kimarekani na wana branch south africa hao ndio walikuwa wanawalipia hotel kadhaa mashoga hapa bongo wakidai wanawalinda wasiishi mtaani, hao ndio wamewalipia hela hao jamaa. matajiri hao ndio wanapenyeza uchafu EU na ndio wapo na TL pia kupata mwanya kusambaza uchafu huo bongo.
 
Back
Top Bottom