Ni ujinga kulalamika jirani yako hakupendi kwa sababu tu ameingilia kati unavyompiga marungu mtoto wako mdogo kama ng'ombe.kama magufuli alifanya, alikosea, kwa hiyo ni OK kwa wengine kuendelea kukosea? hao watu hawana nia njema na nchi hii, na ni dharau sana. imagine CJ wawili wa nchi wanakuja kisutu mbele ya hakimu, wanachojaribu kufanya ni kuinfluence nini na wametumwa na nani na tangu lini mkenya akaipenda Tanzania? mmelishwa nini ninyi aisee?
Kiongozi hawawezi kukuelewa, vita ya Kenya against tanzania ni kubwa sana - Tumeanza kufanya vizuri sana kwenye biashara na tume - cut importation kwa kiwango kikubwa (kwa maana ya value) kutoka Kenya, hili linawaumiza sana wakenya. umeweka hoja sahihi kabiasa, Retired CJ wawili wanakuja TZ kwenye kesi ili iweje? nani yuko nyuma yao (kimsingi ni wazungu tena kutoka EU) sasa wazungu wanaipenda Africa? kwa kuwa Watanzania wengi tunachelewa kung'amua mambo ni ngumu saiz wadau kukuelewa.kama magufuli alifanya, alikosea, kwa hiyo ni OK kwa wengine kuendelea kukosea? hao watu hawana nia njema na nchi hii, na ni dharau sana. imagine CJ wawili wa nchi wanakuja kisutu mbele ya hakimu, wanachojaribu kufanya ni kuinfluence nini na wametumwa na nani na tangu lini mkenya akaipenda Tanzania? mmelishwa nini ninyi aisee?
italeta heshima kwa nchi sio mtu yeyote tu anayetaka toka nje anakuja kuingilia mambo ya ndani ya nchi namna hii. mbona hawathubutu kwenda rwanda, wametuona tz mazwazwa?Itakusaidia nini?badala ya kuwaza Mambo yakuleta manufaa hata kwa miaka 100+ ijayo, unawaza, upuuzi, hao youowataja hawatakuwepo baada ya miaka 40+
nakuhakikishia hata Mhe Lissu angekuwa Rais, asingekubaliana na ujinga huu. When you are the president or the rulling party unaapa kulinda mipaka nk.... ndiyo maana hata leo Mhe Lissu ni Mwenyekiti wa Chama, lakini hakubaliani na ujinga wa CDM kutaka kuingiliwa na ushawishi kutoka nje na yuko bold on that... sasa imagine angekuwa Rais unadhani angekubali? saizi anatumia hiyo pressure kupata anachotaka lakini never akiwa Rais kama atakubali. I stand to be corrected.Itakusaidia nini?badala ya kuwaza Mambo yakuleta manufaa hata kwa miaka 100+ ijayo, unawaza, upuuzi, hao youowataja hawatakuwepo baada ya miaka 40+
Unadhihirisha ukilaza wako tu.Ulishawahi kuona wapi mtu mkubwakama Jaji Mkuu, anaenda nchi nyingine kusapoti mpinzani wa nchi ile? au waziri mstaafu? na je, anaweza kwenda huko bila kuruhusiwa na nchi yake? jaji mkuu analindwa na kuhudumiwa na serikali maisha yake yote, hata akienda mkoa jirani anaomba ruhusa. hii nimeikuta discussion sehemu, wametumwa na rais wao au wamekuja tu? na kama wamekuja tu, rais wao alitutonya? kama hawajatumwa na rais wao, basi wametumwa na wazungu, sisi tufanyeje?
kwa wasiojua, huu ni mpango mkakati wa wazungu kutafuta sababu ya kuingilia utawala wa M7 na SAMIA kwani kwa kenya wameshaingia, ili nchi hizi tatu waziweke mfukoni mwao.
binafsi naona hao ni watu hatari kwa nchi yetu, lengo lao ni kusambaza tabia za vurugu na fujo Tanzania ili tuvurugane tusifanye maendeleo. kwa sababu hiyo, naomba serikali ya Tanzania ipige persona non grata (yaani marufuku ya kukanyaga Tanzania maisha yao yote labda itenguliwe) kwa hawa wafuatao:
1. Retired Justice DR. Willy Mutunga
2. Retired Justice David Kenani Maraga
3. Martha Wangari Karua
hawa vinyangarika wengine kama Agatha na Mwangi, nadhani wameshaadibishwa wamejifunza na hawatakuja kukubali kukanyaga Tanzania hata wapewe pesa kiasi gani.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba, wanaojiita wanaharakati toka kenya na uganda, wamekuja kuharibu zaidi siasa za tz badala ya kutengeneza. CJ na waziri mstaafu kuja hapa na kusapoti CDM waziwazi bila kuzingatia claims za serikali,imeonyesha biasness kubwa mno na kwamba TL ni ajenti wa watu wa nje sio wa ndani jambo lililomharibia sana CV zaidi ya ilivyokuwa kabla.
2. Kitendo cha wakenya kuwa na uchungu na TL kuliko hata watz, kinatia mashaka, na kinaifanya sasa CDM ionekane ni puppet party ya wazungu wanaopitia kenya kuingia hapa Tanzania.
3. Hakuna hata siku moja mkenya aliwahi kumwazia mema mtanzania, sisi ni washindani, nchi yetu imetulia hata kama tunaumizana ila hatuna fujo, maendeleo yanaonekana, jambo hilo wakenya linawakwaza sana na wanaogopa tutawapita. wanatamani tuwe na siasa kama za kwao, za fujo na kupigana ili tukwamie hapo.
4. Wazungu wametutafuta sana, ni kweli tuna mapungufu yetu, ila lengo la wazungu ni kama la wakenya, hawana lengo la kutuendeleza, ila kutunyonya na kututawala. baada ya kushindwa, wameamua kuingilia kenya, wanaharakati wa kenya wanaolipwa wapenyeze harakati hizo Tz ili pachafuke na wao waingie au wapate kiongozi wa upinzani aliyefyatuka wamtumie kuvuruga. tuwe makini.
5. Mimi siipendi ccm, ila pia sitaki nchi yangu iingiliwe na wakenya,waganda au wazungu, tuna matatizo ila tutayatatua sisi wenyewe bila influence toka nje kwa sababu hakuna mtu wa nje atatutakia mema, hayupo. hakuna mtu wa nje atailinda nchi yetu au kuwa na uchungu na nchi yetu.wote waliokuja hapa ni wanalipwa nawazungu, kuanzia MARAGA, MUTUNGI,KARUA NA MWANGI. hao wote wanapokea mgao toka kwa wazungu kujifanya wanaharakati ili kuvuruga east africa, na kuna watanzania wanawachekea.
NAOMBA SERIKALI IWE NA MENO ZAIDI YA HAYA LINAPOKUJA SUALA LA MTU WA NJE KUJA KUVURUGA NCHI YETU, TOENI FUNDISHO ILI WASIWEPO WENGINE KABISA. sisemi muue ila washughulikieni kisheria vya kutosha.
nakuelewa sana.Kiongozi hawawezi kukuelewa, vita ya Kenya against tanzania ni kubwa sana - Tumeanza kufanya vizuri sana kwenye biashara na tume - cut importation kwa kiwango kikubwa (kwa maana ya value) kutoka Kenya, hili linawaumiza sana wakenya. umeweka hoja sahihi kabiasa, Retired CJ wawili wanakuja TZ kwenye kesi ili iweje? nani yuko nyuma yao (kimsingi ni wazungu tena kutoka EU) sasa wazungu wanaipenda Africa? kwa kuwa Watanzania wengi tunachelewa kung'amua mambo ni ngumu saiz wadau kukuelewa.
Jitahidi kuficha ujinga wako,itakusaidia maishani.Ulishawahi kuona wapi mtu mkubwakama Jaji Mkuu, anaenda nchi nyingine kusapoti mpinzani wa nchi ile? au waziri mstaafu? na je, anaweza kwenda huko bila kuruhusiwa na nchi yake? jaji mkuu analindwa na kuhudumiwa na serikali maisha yake yote, hata akienda mkoa jirani anaomba ruhusa. hii nimeikuta discussion sehemu, wametumwa na rais wao au wamekuja tu? na kama wamekuja tu, rais wao alitutonya? kama hawajatumwa na rais wao, basi wametumwa na wazungu, sisi tufanyeje?
kwa wasiojua, huu ni mpango mkakati wa wazungu kutafuta sababu ya kuingilia utawala wa M7 na SAMIA kwani kwa kenya wameshaingia, ili nchi hizi tatu waziweke mfukoni mwao.
binafsi naona hao ni watu hatari kwa nchi yetu, lengo lao ni kusambaza tabia za vurugu na fujo Tanzania ili tuvurugane tusifanye maendeleo. kwa sababu hiyo, naomba serikali ya Tanzania ipige persona non grata (yaani marufuku ya kukanyaga Tanzania maisha yao yote labda itenguliwe) kwa hawa wafuatao:
1. Retired Justice DR. Willy Mutunga
2. Retired Justice David Kenani Maraga
3. Martha Wangari Karua
hawa vinyangarika wengine kama Agatha na Mwangi, nadhani wameshaadibishwa wamejifunza na hawatakuja kukubali kukanyaga Tanzania hata wapewe pesa kiasi gani.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba, wanaojiita wanaharakati toka kenya na uganda, wamekuja kuharibu zaidi siasa za tz badala ya kutengeneza. CJ na waziri mstaafu kuja hapa na kusapoti CDM waziwazi bila kuzingatia claims za serikali,imeonyesha biasness kubwa mno na kwamba TL ni ajenti wa watu wa nje sio wa ndani jambo lililomharibia sana CV zaidi ya ilivyokuwa kabla.
2. Kitendo cha wakenya kuwa na uchungu na TL kuliko hata watz, kinatia mashaka, na kinaifanya sasa CDM ionekane ni puppet party ya wazungu wanaopitia kenya kuingia hapa Tanzania.
3. Hakuna hata siku moja mkenya aliwahi kumwazia mema mtanzania, sisi ni washindani, nchi yetu imetulia hata kama tunaumizana ila hatuna fujo, maendeleo yanaonekana, jambo hilo wakenya linawakwaza sana na wanaogopa tutawapita. wanatamani tuwe na siasa kama za kwao, za fujo na kupigana ili tukwamie hapo.
4. Wazungu wametutafuta sana, ni kweli tuna mapungufu yetu, ila lengo la wazungu ni kama la wakenya, hawana lengo la kutuendeleza, ila kutunyonya na kututawala. baada ya kushindwa, wameamua kuingilia kenya, wanaharakati wa kenya wanaolipwa wapenyeze harakati hizo Tz ili pachafuke na wao waingie au wapate kiongozi wa upinzani aliyefyatuka wamtumie kuvuruga. tuwe makini.
5. Mimi siipendi ccm, ila pia sitaki nchi yangu iingiliwe na wakenya,waganda au wazungu, tuna matatizo ila tutayatatua sisi wenyewe bila influence toka nje kwa sababu hakuna mtu wa nje atatutakia mema, hayupo. hakuna mtu wa nje atailinda nchi yetu au kuwa na uchungu na nchi yetu.wote waliokuja hapa ni wanalipwa nawazungu, kuanzia MARAGA, MUTUNGI,KARUA NA MWANGI. hao wote wanapokea mgao toka kwa wazungu kujifanya wanaharakati ili kuvuruga east africa, na kuna watanzania wanawachekea.
NAOMBA SERIKALI IWE NA MENO ZAIDI YA HAYA LINAPOKUJA SUALA LA MTU WA NJE KUJA KUVURUGA NCHI YETU, TOENI FUNDISHO ILI WASIWEPO WENGINE KABISA. sisemi muue ila washughulikieni kisheria vya kutosha.
Andiko refu halina hata supporting evidence ya hao unaowatuhumu.Ulishawahi kuona wapi mtu mkubwakama Jaji Mkuu, anaenda nchi nyingine kusapoti mpinzani wa nchi ile? au waziri mstaafu? na je, anaweza kwenda huko bila kuruhusiwa na nchi yake? jaji mkuu analindwa na kuhudumiwa na serikali maisha yake yote, hata akienda mkoa jirani anaomba ruhusa. hii nimeikuta discussion sehemu, wametumwa na rais wao au wamekuja tu? na kama wamekuja tu, rais wao alitutonya? kama hawajatumwa na rais wao, basi wametumwa na wazungu, sisi tufanyeje?
kwa wasiojua, huu ni mpango mkakati wa wazungu kutafuta sababu ya kuingilia utawala wa M7 na SAMIA kwani kwa kenya wameshaingia, ili nchi hizi tatu waziweke mfukoni mwao.
binafsi naona hao ni watu hatari kwa nchi yetu, lengo lao ni kusambaza tabia za vurugu na fujo Tanzania ili tuvurugane tusifanye maendeleo. kwa sababu hiyo, naomba serikali ya Tanzania ipige persona non grata (yaani marufuku ya kukanyaga Tanzania maisha yao yote labda itenguliwe) kwa hawa wafuatao:
1. Retired Justice DR. Willy Mutunga
2. Retired Justice David Kenani Maraga
3. Martha Wangari Karua
hawa vinyangarika wengine kama Agatha na Mwangi, nadhani wameshaadibishwa wamejifunza na hawatakuja kukubali kukanyaga Tanzania hata wapewe pesa kiasi gani.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba, wanaojiita wanaharakati toka kenya na uganda, wamekuja kuharibu zaidi siasa za tz badala ya kutengeneza. CJ na waziri mstaafu kuja hapa na kusapoti CDM waziwazi bila kuzingatia claims za serikali,imeonyesha biasness kubwa mno na kwamba TL ni ajenti wa watu wa nje sio wa ndani jambo lililomharibia sana CV zaidi ya ilivyokuwa kabla.
2. Kitendo cha wakenya kuwa na uchungu na TL kuliko hata watz, kinatia mashaka, na kinaifanya sasa CDM ionekane ni puppet party ya wazungu wanaopitia kenya kuingia hapa Tanzania.
3. Hakuna hata siku moja mkenya aliwahi kumwazia mema mtanzania, sisi ni washindani, nchi yetu imetulia hata kama tunaumizana ila hatuna fujo, maendeleo yanaonekana, jambo hilo wakenya linawakwaza sana na wanaogopa tutawapita. wanatamani tuwe na siasa kama za kwao, za fujo na kupigana ili tukwamie hapo.
4. Wazungu wametutafuta sana, ni kweli tuna mapungufu yetu, ila lengo la wazungu ni kama la wakenya, hawana lengo la kutuendeleza, ila kutunyonya na kututawala. baada ya kushindwa, wameamua kuingilia kenya, wanaharakati wa kenya wanaolipwa wapenyeze harakati hizo Tz ili pachafuke na wao waingie au wapate kiongozi wa upinzani aliyefyatuka wamtumie kuvuruga. tuwe makini.
5. Mimi siipendi ccm, ila pia sitaki nchi yangu iingiliwe na wakenya,waganda au wazungu, tuna matatizo ila tutayatatua sisi wenyewe bila influence toka nje kwa sababu hakuna mtu wa nje atatutakia mema, hayupo. hakuna mtu wa nje atailinda nchi yetu au kuwa na uchungu na nchi yetu.wote waliokuja hapa ni wanalipwa nawazungu, kuanzia MARAGA, MUTUNGI,KARUA NA MWANGI. hao wote wanapokea mgao toka kwa wazungu kujifanya wanaharakati ili kuvuruga east africa, na kuna watanzania wanawachekea.
NAOMBA SERIKALI IWE NA MENO ZAIDI YA HAYA LINAPOKUJA SUALA LA MTU WA NJE KUJA KUVURUGA NCHI YETU, TOENI FUNDISHO ILI WASIWEPO WENGINE KABISA. sisemi muue ila washughulikieni kisheria vya kutosha.
Amerudi kwenye makazi yake ya asili kule hifadhi ya Gombe.Mmeshampata wasira kwanza? Kabla hamjaleta matapishi hapa malizeni ya ndani kwenu kwanza mpunguze aibu ndogondogo hizi, na pia acha kumdhalilisha Yesu please! Hakuwa kilaza wa level hii
wewe ndio mjinga ndugu, tena mjinga mno. nikiwa nampiga mtoto wangu jirani akija hawezi kukaa upande wa mtoto bila kupiga hodi na kuhitaji maelezo toka kwangu kwa nini namwadhibu mtoto. ukiona jirani anasimama upande wa mtoto aliyekosea bila consultation kwa mzazi wake jua huyo jirani ndio alimtuma mtoto akosee na hakutakii mema.Ni ujinga kulalamika jirani yako hakupendi kwa sababu tu ameingilia kati unavyompiga marungu mtoto wako mdogo kama ng'ombe.
sasa mimi nimeandika hoja, wewe haujibu hoja ina unatukana, kati yangu mimi na wewe nani mjinga? wanaotusikiliza watapimaje kwamba wewe sio mjinga wakati hauna hata cha kuongea?Jitahidi kuficha ujinga wako,itakusaidia maishani.