"Persona non grata" itolewe kwa baadhi ya raia wa nje ili liwe fundisho!

Andiko refu halina hata supporting evidence ya hao unaowatuhumu.
shida ni uelewa finyu tu ndugu kwa upande wako. supportive evidence ipi unayohitaji toka kwangu? haukuona hao majaji wa kuu wastaafu wa kenay wamekuja Tanzania na mmoja aliingia kisutu? haujui kama martha karua alikuwa deported? what else do you need.
 
sasa mimi nimeandika hoja, wewe haujibu hoja ina unatukana, kati yangu mimi na wewe nani mjinga? wanaotusikiliza watapimaje kwamba wewe sio mjinga wakati hauna hata cha kuongea?
Umeandika mada ambayo iko juu ya uwezo wako wa utambuzi, wewe jikite tu kwenye mitano tena kwa mama ndiyo saizi yako
 
Itakusaidia nini?badala ya kuwaza Mambo yakuleta manufaa hata kwa miaka 100+ ijayo, unawaza, upuuzi, hao youowataja hawatakuwepo baada ya miaka 40+
Kisabato hiki. Kibishi cha ujinga na vingi vinajipendekeza serikalini vipewe nafasi kitengo. Na vinapikwa tokea scout yao vinaita pathfinder
 
Yesu na yeye apewe Persona non grata hapa Tanzania. Au nimekosea Yesu Anakuja
hilo neno "Yesu anakuja" peke yake no matter how I display myself here, litawahukumu wengi wanaomkataa, wewe mojawapo, kwa sababu siku hiyo hamtakua na udhuru kwamba hamkusikia. nio essence ya hii avatar. ubarikiwe.
 
Weka evidence za malipo wanayopokea kutoka kwa wazungu wewe mwenye uelewa mpana.
 
Ni ujinga kulalamika jirani yako hakupendi kwa sababu tu ameingilia kati unavyompiga marungu mtoto wako mdogo kama ng'ombe.

Mkuu wakenya hawajawahi kuipenda nchi hii, historia inaonyesha hivyo na mpaka leo tunaona mitazamo yao wakiwa nyuma ya internet
 
Ni katiba ya nchi ipi inasema jaji au waziri mstaafu akitaka kutoka sehemu moja kwenda nyingine anaomba ruhusa?

Unaifahamu Jumuiya (EAC)? Unazijua haki za binadamu?

Persona grata ndio neno.
 
Ni katiba ya nchi ipi inasema jaji au waziri mstaafu akitaka kutoka sehemu moja kwenda nyingine anaomba ruhusa?

Unaifahamu Jumuiya (EAC)? Unazijua haki za binadamu?

Persona grata ndio neno.
ni kwa sababu hauijui tu hiyo tasnia ya majaji. kwa kukusaidia tu, hata majaji wa kawaida tu kutoka hapa dsm kwenda dodoma, anatakiwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama kwa sababu wanalindwa muda wote. sembuse Jaji Mkuu wa nchi? na hizo favour anazipata maisha yake yote. vitu usivyovijua ni bora unyamaze tu.
 

Kwa Martha Karua, Majaji wakuu wawili wastaafu na wanaharakati wawili kuikanyaga ardhi ya Tanzania. Na kwa kipi walichokifanya kinachowafanya waharifu?
1: Elezea kwa sheria za Tanzania na kimafaifa wamevunja sheria ipi?
2: Kipengele gani?
3: Adhabu unazozitoa zinatokana na sheria au hukumu au mwenendo wa kesi ipi?
 
Kuna sehemu yule mzee aliwaambia kwamba amekuja kuunga mkono upinzani hapo Tanzania? Eti ni mpango wa wazungu kwa ushahidi gani ulionao wa kuthibitisha huo upuuzi ulioandika hapo? hivi unajua ni mara ngapi magufuli akiwa waziri alipanda jukwaani kenya kumuombea kura raila odinga? au unajua ni mara ngapi Nyerere aliingilia mambo ya nchi nyingine ili tuu kufanikisha kupatikana haki na amani?
Muda mwingine jaribu kuficha upumbavu wako sio lazima kila mtu ajue wewe ni mpumbavu
 
Ilikuaje jaji Augustino Ramdhan akaingia kwenye mchuano wa kugombea urais CCM?
 
Lisu sio mpinzani wa serikali Lisu ni mwenyekiti wa chama cha siasa kilichosajiliwa na serikali. Mnaumia kuwaona watu wanakuja kumsupport lisu kwa sababu ya mentality mlioijenga kwamba usipokuwa ccm basi we unapinga serikali. CCM wanaleta watu kibao hapa nchini kutoka hadi ulaya, tumeshuhudia mpaka wachina wanavalishwa kijani kwenye shughuli za chama. Chadema wakileta supporters mnawaterm kwamba wanaingilia mambo ya ndani nchi. Kwa hiyo wakija wa ccm hawaingilii mambo ya ndani ila wakija wa chadema wanaingilia mambo ya ndani. Mtawamaliza vijana wanao kosoa kuwaua huku mnalea ufisadi ambao unaua kundi kubwa la wananchi kwa sababu ya mentality kama hizo.
 
Mkuu wakenya hawajawahi kuipenda nchi hii, historia inaonyesha hivyo na mpaka leo tunaona mitazamo yao wakiwa nyuma ya internet
Unataka Wakenya wafanye nini ili useme wanaipenda Tanzania? Mitazamo gani ya Wakenya nyuma ya internet inaonyesha hawaipendi Tanzania?
Watanzania tunaipenda Kenya?
 
Ndugu unadhani ni mali zipi ambazo uongozi wa samia umewanyima wazungu wameshindwa kuzipata mpaka watumie garama kubwa kuwalipa wale watu wote raia wa Kenya wsiomkubali samia ili wazipate?
Je ni kweli viongozi wetu wanalinda rasilimal za taifa au wanataka kubaki madarakani ili walinde mikataba wakiyoungia na wauze na zilizobaki? Je hao viongozi walio madarakani ni kweli sio vibaraka wa wazungu na waarabu. Je hao wanaotekwa kuumizwa na kuuawa wewe unafurahia? Yuko wapi mdude? Kosa lake nini kukosoa? Kuna mahakama amefikishwa na kuhukumiwa?
Je wewe hiyo mikataba tunayoambia unaifurahia? Unafurahi ngorongoro kuuzwa na wamasai kufukuzwa? Natamani nikuulize zaidi jibu kwanza hayo.
 
Unataka Wakenya wafanye nini ili useme wanaipenda Tanzania? Mitazamo gani ya Wakenya nyuma ya internet inaonyesha hawaipendi Tanzania?
Watanzania tunaipenda Kenya?

Tuanze hapo chini, watanzania hatuna tatizo na jirani yeyote.
Vilevile sio lazima mtu atupende, mitazamo ya Wakenya kwenye mitandao ndio inatuambia wanatuchukulia vipi. They're looking at us down and have jealous of everything we have.
 
vingiii sana - Inaonekana Samia ni pro Asia kuliko Western; Unadhani kwanini mgogoro wa bandari ulikuwa over hyped kihivyo? kwasababu ulikuwa unamtoa TICTS (pro western) na kuhamia DP World? Unadhani kwanini ADANI alipigiwa kelele kiasi hicho Kenya - mambo ni mengi sana ...... the Western wataendelea kupush, na watabrainwash watu sana - kumbuka story ya Libya nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…