Na wakifika DRC wanafukuzwa mbio na wanamgambo watoto waliojiami kwa mapanga.Jeshi liko imara... Imefanyiwa testing,, si kama ile ya display. Ati wanatuonyesha mtu amevaa miwani akiwa amekunja sura ati special force. Haha.. Hata mbuzi hukunja sura
Kama panga hawaiwezi...Kenya wataweza?? Kenya kwanza ni high sana kwao.. Wataweza Al shabaabNa wakifika DRC wanafukuzwa mbio na wanamgambo watoto waliojiami kwa mapanga.
Hahahaaa aibu tupu Hawajui hata matumizi ya vifaa, kamanhuyo kavaa night vision Google za nini mchana?For cameras mkuu, alipitiwa.
RDU from Ap jus showin them even our APs si kidogoLast one is AP police not KDF
Hicho ni kifaa cha thermal imaging.Uyu kazingua, anatumia night vision goggle mchana kweupe? [emoji3]View attachment 791560
hawa jamaa wana ushamba mwingi... ukivaa night vision mchana haoni kitu, even a regular folk hawezi fanya hivyo... most google siku hizi ni multipurpose, ziko na low light vivion setting kutumia asubuhi au jioni jioni, kuna infrared setting ambayo unatumia mchana ili kutofautisha miti na watu , alafu bado iko na thermal setting ya kuona hata haka adu amejificha nyuma ya mti...Hicho ni kifaa cha thermal imaging.
Since when wewe ni msemaji wa TPDF? Since when TPDF imekuwa ambushed na child soldiers wenye mapanga?Hapa DRC sisi TPDF tunakuwa ambushed na child soldiers waliojiami na mapanga na kututwanga...Mungu tuhurumie jeshi letu.
Toa upuuzi hapa huna unalolijua zaidi ya kueleza mambo ambayo huyajui.Kwa upande wa vifaa hongereni sana Kenya.
Tanzania tunapaswa kuiga wenzetu, kuliacha jeshi lijikite ktk mambo yake zaidi na sio kuliingiza ktk siasa. Ni aibu kubwa hata meli tunazotumia tumepewa msaada na china, ndege pia tumesaidiwa. Ifike kipindi na sisi pia tujitegemee na kununua vifaa bora.
Hata ajira ndani ya Jeshi letu zinapaswa kutolewa kwa kutazama utayari wa mtu na profession za watu. Tuache mambo ya kuajiri watu walosoma, sehemu hii hata jeshi la polisi linahusika pia.
Naona wewe ndo umeamua kuja kuandika upuuzi.Toa upuuzi hapa huna unalolijua zaidi ya kueleza mambo ambayo huyajui.
Tangu lini wewe ukawa msemaji kwa niaba ya jwtz? Kuna mambo msioyajua ni vema kunyamaza.Naona wewe ndo umeamua kuja kuandika upuuzi.
Nakubali kunyamaza kwa mambo ninayoyajua ndani ya hiko chombo, tuna jeshi zuri ila hatuna silaha za kisasa kama unavyotetea point zako ila hili jambo la kununua silaha za kisasa limeshaleta mambo mengi sana ndani ya hiki chombo na mpaka serikalini. Narudia tena, kwa upande wa kuwa na silaha za kisasa, jeshi letu bado sana. Nakutakia asubuhi njema.Tangu lini wewe ukawa msemaji kwa niaba ya jwtz? Kuna mambo msioyajua ni vema kunyamaza.
Nawe piaNakubali kunyamaza kwa mambo ninayoyajua ndani ya hiko chombo, tuna jeshi zuri ila hatuna silaha za kisasa kama unavyotetea point zako ila hili jambo la kununua silaha za kisasa limeshaleta mambo mengi sana ndani ya hiki chombo na mpaka serikalini. Narudia tena, kwa upande wa kuwa na silaha za kisasa, jeshi letu bado sana. Nakutakia asubuhi njema.