Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

Kweli ila nikikumbuka kwenye ile supermarket iliyo vamiwa na maharamia halafu wakaitwa jeshi wakaingia na kila mwana jeshi akatoka na mifuko imejaa bidhaa yaani hapo mjini tuu hivyo je wakiwa porini si wata beba hadi mihogo ya watu......
 
Nawasifu sana jeshi la Kenya. Kama kuna jambo mmefanikiwa ni kuwadhibiti barabara Al-Shabab hivi sasa Somalia inaelekea kuwa taifa tulivu na uharamia wa baharini umekoma kabisa

Issue ya Somalia kuna factors nyingi ikiwemo vita ni ya muda mrefu toka enzi ya Operation Hawk Down 1991/92
Ni miaka 26 Sasa
Makamanda wa vita kama Gen MOHAMED farah aideed au Gen Mahdi washazeeka in 80s , vijana walioanza ile vita wengi wamekufa,walemavu au kuzeekaa na vijana wa kisomali walio ground leo asilimia kubwa wamezaliwa baada ya vita kwahiyo the cause of struggle inapotea kwa nguvu toka kwenye kuchukua mamlaka ya nchi baada ya Siad barre kukimbia hadi kwenye kuibuka kwa vikundi vya kiukooo ambavyo havipigani Pamoja na lengo zaidi ni kujitenga kimaeneo na kujitangazia uhuru na vingine vinapigana kwa influrnce ya makundi ya kigaidi kama Al quaida ambayo nayo yamezidiwa nguvu
Kenya zaidi ya kulinda mpaka wake na Somalia haijasogea Sana Ndani
Lakini pia siku Somalia ikiwa moja Kenya wana tatizo Sugu la mpaka na Somalia ardhi na baharini
Na watakuwa wanaomba Somalia iendelee kutotawalika Tayari Somalia wako mahakama ya dunia kulalamika lakini huenda wangekua na nguvu wangepigana tatizo hata hiyo SERIKALI ya muda ya Somalia Ina makazi yake Kenya na Viongozi wake wako kwenye payroll ya Kenya jambo lingine linalowauzi wasomalia walio Ndani ya nchi au Ngambo
 
DdsBtQ9VMAIrjV2.jpg
6489694_csg7nxkae3wib_jpeg33236c3e52bab11e0d351b399dc6d897
6668636_346593875816680_jpg55cc746b31f06cc048eded7802154f31
DAHd-Z6VwAAvs73.jpg
DAKtKndUMAI7XkB.jpg
6094514_a0612b231eb441f6aa265fe1ee2f84ce_jpeg_jpeg3f4ad32ea993bfb6509bd7a896cdd93d
6136308_screenshot201710202310031_jpeg1fa0a8e6ac5ff32303e82be886ec925b
6265868_160913fex835312_jpeg5e3093658a76e63e10b4ff8f4c479643
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/10/119965_2b0397e56fae11b89359c0e668840dc5.jpeg
6013010_liboimh1_jpeg061723bb98588c964e4b10af6f73faae
5539910_238_jpeg9f1968cee17338e4bbd960bae74956f1
DNtp2XwUIAEuX2R.jpg
5296751_fbimg1494491860537_jpeg00614660c3d5b52e46633bafbe0e42fc
5296752_download_jpeg9e044ea0ed5817381b189680f392bafe
5330807_img20170517wa00021_jpegaa139f2702031e14e9c3a3de68d78409
huey910.jpg
6113335_dmqm5umx4aex1r_jpegdf1e429577e6ce54daed30157b10c247
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/04/99201_3db98a4c8a37f7a4d1d16a70e051eae1.jpg
1199673.jpg
Angalia hapo kwanza kabla hujaleta ushuzi hapa
 
Nakubali kunyamaza kwa mambo ninayoyajua ndani ya hiko chombo, tuna jeshi zuri ila hatuna silaha za kisasa kama unavyotetea point zako ila hili jambo la kununua silaha za kisasa limeshaleta mambo mengi sana ndani ya hiki chombo na mpaka serikalini. Narudia tena, kwa upande wa kuwa na silaha za kisasa, jeshi letu bado sana. Nakutakia asubuhi njema.
wewe nani kakuambia hatuna silaha za kisasa au unaamua kuongea tu kama msemaji wa jeshi? tulia waache hao wafanye show off kama kawaida yao isikuumize sana
 
ivyo vifaa vyenyewe rais wao alienda kuomba marekani kwa ajili ya operation ya somalia ili kupambana na alshaaby na silaha nyingine kutoka kwa foreign base za uk na usa zilizopo kenya wakimalizia mda wao wanatupia malipumbukeni matokeo yao matumizi yanawapiga chenga
 
Sisi Wabongo hatuongea sana kama ninyi, lakini Watu wenye akili duniani acha waongee na Wanasema Tanzania is the only African country in the list of top 35 world's most elite military teams. Angalia chini hapo, sisi ni namba 27 in the world, ninyi sijawaona pamoja na kelele zenu zote.

These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.

Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces.

1. US Navy SEAL

sf1.jpg

2. British SAS

sf2.jpg

3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces

sf3.jpg

4. French Special Forces

sf4.jpg

5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)

sf30.jpg

6. Irish army rangers

sf6.jpg

7. Australian SASR

sf26.jpg

8. MARSOC

sf8.jpg

9. Canadian counter terrorist group JTF2

sf9.jpg

10. Russian Special Forces: Spetsnaz

sf31.jpg

11. Dutch Special Forces

sf11.jpg

12. SBS

sf12.jpg

13. Delta Force

Delta-Force.jpg

14. Belgian Special Forces Group

sf34.jpg

23. U.S. Special Forces

sf33.jpg

24. Indonesian Special Forces Command

sf35.jpg

25. Romanian Special Forces

sf25.jpg

26. Serbian Gendarmerie

sf7.jpg

27. Tanzanian Special Forces In Congo

sf27.jpg
Angalia huyo watz kavaa NVG mchana!

hio ni list ya ma blogger, jamaa anajitungia tu kulingana na licha apatazo mtandaoni, kuna wale pathfinders kutoka SA, hao ndo wakali zaidi Afica nzima

the only place majeshi yanakua ranked scientifically ni global firpower na hata hao hua wanashindwa ku rank vizuri kwasababu kuna data zengine hawana
African Powers Ranked by Military Strength
 
BTW, this is what you see when you use the goggles during daytime

upper left is what you see with naked eyes.

upper right is what you see using regular binoculars. .

the two lower pics is what you see using flir or thermal imaging
 
Sisi Wabongo hatuongea sana kama ninyi, lakini Watu wenye akili duniani acha waongee na Wanasema Tanzania is the only African country in the list of top 35 world's most elite military teams. Angalia chini hapo, sisi ni namba 27 in the world, ninyi sijawaona pamoja na kelele zenu zote.

These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.

Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces.

1. US Navy SEAL

sf1.jpg

2. British SAS

sf2.jpg

3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces

sf3.jpg

4. French Special Forces

sf4.jpg

5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)

sf30.jpg

6. Irish army rangers

sf6.jpg

7. Australian SASR

sf26.jpg

8. MARSOC

sf8.jpg

9. Canadian counter terrorist group JTF2

sf9.jpg

10. Russian Special Forces: Spetsnaz

sf31.jpg

11. Dutch Special Forces

sf11.jpg

12. SBS

sf12.jpg

13. Delta Force

Delta-Force.jpg

14. Belgian Special Forces Group

sf34.jpg

23. U.S. Special Forces

sf33.jpg

24. Indonesian Special Forces Command

sf35.jpg

25. Romanian Special Forces

sf25.jpg

26. Serbian Gendarmerie

sf7.jpg

27. Tanzanian Special Forces In Congo

sf27.jpg
Kwahiyo Mkuu Tanzania tumeipita mpaka China?
 
Picha sio kupigana. Katika hostoria ya vita hamjawahi kupigana na kushinda vita hata moja. Alishababu wamawatia aibu sana. Wamewapiga kwenye kambi yenu mmeshindwa hata kujitetea, mamia ya wanajeshi wenu wameua na alishababu kwenye shambulio hilo huku serikali ikiona aibu kusema idadi kamili kwaajili ya usalama. Mmepigwa kama kuku. Watanzania wameweza kuwamaliza M23 Ndani ya usiku mmoja. Watanzania 14 walioua DRC ni unexpected ambush ambayo katika mausala ya medani za kivita haizuiliki hata huvyo wataalam wa masuala ya kivita wanasema kama jeshi la Tanzania lisingekuwa imara wangeua wote. Kingine kilichochangia kuuawa ni waasi walikuwa na silaha kali kuliko Watanzania na hii si kwakuwa Tanzania haina silaha zaidi yao la hasha hii ni kwasababu ya mandate ya UN inakataza nchi kuja na silaha za aina fulani ila sasa Tanzania imelalamika kwa UN na kifungu hicho kimebadilishwa na kuongezewa silaha kali za kivita. Stay tuned.
Jeshi halina nidhamu, jeshi linaiba mall. Jeshi linaogopa kuingia ndani ya mall mpaka watu wanatokomea, yaani mpaka swala ya usiku wamefanyia mall. Hovyo kabiss KDF kwenye upande battle ila kwa vifaa nawapa credit.
 
Afadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....

-------
The UN mission in the DRC announced that it had received allegations of sexual exploitation and abuse by members of the Tanzanian contingent attached to the MONUSCO Force Intervention Brigade in Mavivi village in the eastern part of DRC.
According to preliminary information, there are 11 such allegations against the Tanzanian troopers in the area, all of them involving paternity claims.
The implicated soldiers have been detained awaiting the further UN investigation while the whole Tanzanian troop has also been confined to the brigade’s base station. Meanwhile, a top UN official on sexual abuse is expected to arrive in the region soon.
https://ippmedia.com/en/news/tanzanian-soldiers-drc-arrested-over-sex-abuse

----
mlitumwa drc kupigana na child soldiers, badala yake mkaenda ku rape child victimes na kuwachia majeshi ya SA kupigana vita
 
Tanzanian soldiers in DRC arrested over sex abuse

----
mlitumwa drc kupigana na child soldiers, badala yake mkaenda ku rape child victimes na kuwachia majeshi ya SA kupigana vita
Kijana usilete vita ya mawe wakati nyumba yako ni ya ovyo ovyo

Kenyan soldiers forcing somali women roll in mud..& raping

Human Rights Watch released a statement Thursday accusing Kenyan security forces of abusing Kenyan Somalis and Somali refugees in northeastern Kenya, particularly in the provincial capital and around the Dadaab refugee camp

Kenyan soldiers forcing somali women roll in mud..& raping - SomaliNet Forums
 
Afadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....

-------
The UN mission in the DRC announced that it had received allegations of sexual exploitation and abuse by members of the Tanzanian contingent attached to the MONUSCO Force Intervention Brigade in Mavivi village in the eastern part of DRC.
According to preliminary information, there are 11 such allegations against the Tanzanian troopers in the area, all of them involving paternity claims.
The implicated soldiers have been detained awaiting the further UN investigation while the whole Tanzanian troop has also been confined to the brigade’s base station. Meanwhile, a top UN official on sexual abuse is expected to arrive in the region soon.
Tanzanian soldiers in DRC arrested over sex abuse

----
mlitumwa drc kupigana na child soldiers, badala yake mkaenda ku rape child victimes na kuwachia majeshi ya SA kupigana vita
Haya mnayafanya ndani ya nchi yenu kabisa kubaka watoto wa kiislam

A Muslim woman has claimed two KDF soldiers attacked her after she refused to have sex with them.

The woman, Aisha Mohamed, 19, told The Nairobian that on the night of Idd ul Adha celebrations (September 1), at around 11pm, she was enjoying drinks with her pals at a popular nightclub near the Kenya Defence Forces barracks.

Did two KDF soldiers attempt to rape Coast woman?
 
Afadhali walio iba juice na biskuti kuliko wale special forces wenu wanao baka watoto wadogo wanaofaa kulindwa...... kiasi cha kua ikalazimisha wanajeshi wote wa Tz kufungiwa kambini.... The first ever UN peaceEnforcement and Tanzania ruined its reputation....

-------
The UN mission in the DRC announced that it had received allegations of sexual exploitation and abuse by members of the Tanzanian contingent attached to the MONUSCO Force Intervention Brigade in Mavivi village in the eastern part of DRC.
According to preliminary information, there are 11 such allegations against the Tanzanian troopers in the area, all of them involving paternity claims.
The implicated soldiers have been detained awaiting the further UN investigation while the whole Tanzanian troop has also been confined to the brigade’s base station. Meanwhile, a top UN official on sexual abuse is expected to arrive in the region soon.
Tanzanian soldiers in DRC arrested over sex abuse

----
mlitumwa drc kupigana na child soldiers, badala yake mkaenda ku rape child victimes na kuwachia majeshi ya SA kupigana vita
Report implicates Kenyan military in sugar smuggling racket in Somalia

Kenya's army is involved in a $400-million sugar smuggling racket in Somalia that also funds the Al-Qaeda militants it is supposed to be fighting, a report alleged Thursday. Far from fighting the Shebab, Al-Qaeda's East Africa affiliate, the Kenya Defence Forces (KDF) are, "in garrison mode, sitting in bases while senior commanders are engaged in corrupt business practices," said the investigation by Nairobi's Journalists for Justice rights group. The report is based on months of research conducted in Somalia and Kenya, including interviews with serving Kenyan officers, United Nations officials, Western intelligence sources, sugar traders, porters and drivers.

The report also accused Kenyan troops of "widespread" human rights abuses -- including rape, torture and abduction -- and conducting air strikes "targeting crowds of people and animals" rather than the militant training camps it claims to bomb.
 
Back
Top Bottom