Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

Numbers don’t lie fire power ya Tanzania imefanya kazi ambayo miaka 20 pale kuna UN forces wanaiba tu na kubaka
Wivu wao ndio hizi smear campaign na tunazijuaaa

Pia rekebisha that’s not our first ever campaign tumekuwako Liberia wakati vita ikiwa kali kabisa , tupo Nchi nyingi tu zaidi ya 10 kwa sasa ..
Lakini ukiacha hayo tumesaidia nchi rafiki zilizopinduliwa kama Re Union , Comoro ,Seychelles , na Uganda

Ukiacha hayo tumeshiriki overt and covert operations za ukombozi plus millitary support and training South Afrika , Namibia , Angola , Zimbabwe ,Mocambique

Secrets mission za kumuondoa Mobuto zote zimefanyika TANZANIA Kwa muda mrefu na baada ya majaribio mengi yaliyoshirikisha hadi wana mapinduzi kama Che Guevara hatimae miaka ya kati ya 90 kikosi cha Kabila ambaye muda wote amekua akiishi Tanzania yeye na familia yake kiiliingia Zaire kupitia Kigoma akisaidwa na Timu ya maafisa wa Tanzania na kufanikiwa kuingia madarakani Kabila Sr aliendelea chini ya ukinzi wa Kikosi maalum cha makonandoo wa Tanzania na ni pale tu walipondoka aliuliwa( An inside job of which Tanzania intelligences warned Kabila Sr before ... unfortunately hakuamini na alielemewa na mapenzi yake Kwa pombe na wanawake wazuri toka Kigali )
Secret Operations ya kumuingiza Museveni baada ya Obote ll kuvurunda...soma “sewing the mustard” kitabu cha Museveni

Operations wise jeshi la Tanzania ndio lenye record nzuri , EAST AFRICA na jeshi la Uganda ni second , Kenya wanaongoza tu kwa Vifaa vizuri na budget kubwa !!!!!
That goes into record ... ila pia TANZANIA intelligences system imejipenyeza vizuri EA , second is Rwanda
Ila upande wa uwezo wa kuleta hujuma TANZANIA ina uwezo huo Kwa karibu nchi zote zinazoizunguka na imepata kufanya sabotage kwa mafanikio makubwa huko nyuma
Nchi ambazo Tanzania haijaingilia au kuhujumuu kisiasa ni Kenya , Zambia na Msumbiji ( na Sasa Uganda )
Mfano Tanzanian na Kenya Pamoja na kuonekana kubishana sana ni vigumu kuhujumiana kwakua zinategemeana Sana kiuchumi hakuna uwezekano wa kupigana na Kenya , Zambia au Msumbiji

Lakini nchi ya Uganda hofu yetu kubwa ni kama Museveni akiondoka , Tanzania haiwezi gombana na Uganda Kwa ajili ya Museveni Lakini vile vile hofu yetu ni kama Kiongozi atakayekuja Uganda atakuwa Mbaya itabidi Tanzania iwe Upande wa wananchi wa Uganda

Hata ukitizama Kenya ikitokea destabilization Uganda watapata tabu ila Kwa Kenya hatari yao kubwa iko kaskazini yaani Somalia , Ethiopia kidogo na pia ukweli kuwa wana wasomali wengi zaidi Ndani ya nchi

Kwa upembuzi East African countries common enemy is Egypt and one day we will have to fight together against Egypt and Sudan ( the strategic reason we need South Sudan in EA as our buffer ) one day when climate change gets sour we will have to fight together aggression to us against Nile benefiting countries That is our common risk and common enemy

For that case our leaders are talking about EA INTERVENTION BRIGADE that’s important and any simulation must base on possible Aggression for Nile simulating how our Fire Powers can respond
The increasing activities and passion for EA Member states to use Nile waters may require additional preparedness for self defense capacity building collectively
A peace in SSudan will help because EA states can easily establish a Joint Military Base juba
 
Umenena ukweli ila Tanzania has never carried out its own mission alone it has always been in collaboration with other countries .Even the Uganda mission was in collaboration with those against idi amin
 
That is war strategy , you cannot fight alone and you must always find the way of taking advantage of enemy devision and subdivision or even create one .. if you think you can win without that ... you better review your war strategies lessons and experience in the battle ground .
Off course there were few courageous men who wanted to have Amin out and we were using them as informers but not in the really ambush .. you cannot trust them to put them front in your plan .. because of those few hundreds men who were fighting alongside Tanzanians handful of them were Amin penetrated men and off off-course what do you do other than killing them !
Then came post Obote II WHEN he went on to do all those blunders and revenge which Julius Nyerere didn’t want so we had to this time again remove Obote II and help Museveni in .. and at that time Paulo Kagame was fighting as M7 men having trained in combat and intelligence in Tanzania nick named Ponsiano Pillate .. all the way from Ruweero Triangle to State house entering through Kagera ( Bukoba) where they had been holed... also in that group of 26 youthful led by Museveni was Fred rwigyema , Salim Saleh , Tinyefunza ( gen sejussa) and others who managed to burst one weak Camp and get “capital” ammunitions and managed to enrol some Soldiers , Civilians and kadogoz at Ruweero to Join them .....
 
Jeshi halina nidhamu, jeshi linaiba mall. Jeshi linaogopa kuingia ndani ya mall mpaka watu wanatokomea, yaani mpaka swala ya usiku wamefanyia mall. Hovyo kabiss KDF kwenye upande battle ila kwa vifaa nawapa credit.

Uko sawa nakuunga mkono kuwa wanavifaa na hii ni kwakuwa uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu sina shida juu ya hilo. Ila trust me jeshi letu lina mafunzo ya hali ya juu sana na ujasiri sana katika medani ya vita. Kilichotokea Congo kwa M23 KDF wasingeweza. M23 walikuwa kwenye strategic location yaani mlimani ambako ninyi mkija wanawaona na kuwamaliza kirahisi. Watanzania walisubiri mazingira magumu ya kupigana ndipo usiku mmoja ilinyesha mvua kubwa sana ya mawe na hapo ndipo vijana wetu walivyoanza safari ya miguu wakipita kwenye matope mazito kuelekea huko milimani wakisaidiwa na mizinga. M23 hakuamini kama jamaa wangeweza kupigana vita kwenye mazingira magumu kama yale. Vijana wetu wanafundishwa kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 300 wakati wa mvua nyingi na mizigo mizito mgongoni katika mafunzo yao.
 
Kwahiyo Mkuu Tanzania tumeipita mpaka China?
Sio mama kaka, nimecopy na kupesti. Nadhani jamaa hawaangalii vifaa tu, wanaangalia jeshi wanalozungumzia limewahi kufanya operation gani isiyo ya kawaida inayostahili sifa na ndio maana katika list hiyo wametaja makamando wetu walio Congo.
 
Casualties are always expected in war even advanced militaries get hit at times so far Russia have lost over 500 soldiers in syria since 2015 but the Russian govt will never admitt. War with terrosit is not like a boxing match.
I was responding to accusations made against TPDF losses in DRC. At least you understand that casualties are to be expected in any military operation.
 
Issue ya Somalia kuna factors nyingi ikiwemo vita ni ya muda mrefu toka enzi ya Operation Hawk Down 1991/92
Ni miaka 26 Sasa
Makamanda wa vita kama Gen MOHAMED farah aideed au Gen Mahdi washazeeka in 80s , vijana walioanza ile vita wengi wamekufa,walemavu au kuzeekaa na vijana wa kisomali walio ground leo asilimia kubwa wamezaliwa baada ya vita kwahiyo the cause of struggle inapotea kwa nguvu toka kwenye kuchukua mamlaka ya nchi baada ya Siad barre kukimbia hadi kwenye kuibuka kwa vikundi vya kiukooo ambavyo havipigani Pamoja na lengo zaidi ni kujitenga kimaeneo na kujitangazia uhuru na vingine vinapigana kwa influrnce ya makundi ya kigaidi kama Al quaida ambayo nayo yamezidiwa nguvu
Kenya zaidi ya kulinda mpaka wake na Somalia haijasogea Sana Ndani
Lakini pia siku Somalia ikiwa moja Kenya wana tatizo Sugu la mpaka na Somalia ardhi na baharini
Na watakuwa wanaomba Somalia iendelee kutotawalika Tayari Somalia wako mahakama ya dunia kulalamika lakini huenda wangekua na nguvu wangepigana tatizo hata hiyo SERIKALI ya muda ya Somalia Ina makazi yake Kenya na Viongozi wake wako kwenye payroll ya Kenya jambo lingine linalowauzi wasomalia walio Ndani ya nchi au Ngambo

Pamoja na maelezo mengi ni ukweli usiopingika kuwa kuna utofauti mkubwa wa kiusalama ndani ya Somalia na pembezoni mwa baharini baada ya KDF kuwadhoofisha Al-Shabab.

Hadi miaka ya hivi karibuni tulikuwa tukisikia rabsha rabsha, uharamia na shughuli za utekaji zilizokithiri. Leo hii hata Mogadishu serikali inafanya kazi. Utulivu huu umechagizwa sana na operation za KDF.
 
Umesema ukweli kaka.....kabla ya KDF kuingia Somali, Mogadishu ilikua battle field
 
This is TZ my Friend
6b51aab18e3d_sf_5.jpg

31.jpg
😀😀😀 za show tu
 
Wale wa WESTGATE mbona hawakuonekana.
Pale westgate ilikuwa miscalculation walipeleka kdf badala ya kupeleka recce squad ambao ndio wakotrained Ku deal na hostage situations in fact recce squad left the premises after one of them was allegedly shot by kdf fire.The situation at westgate is regrettable but we learnt some lessons the hardway .The recce company is very well trained for such situations
 
If you say miscalculation means poor war/operational planning from your security system commanders, this means poor army!!
 
Miscalculations are everywhere in all militaries in the world no one is 100% perfect but we learn through mistakes but that doesn't mean the army is weak.
 
Okay!! Good,
Everyone is trying to brag on his nation's army! No one can admit weaknesses[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
If you say miscalculation means poor war/operational planning from your security system commanders, this means poor army!!
Miscalculations are everywhere in the militaries around the world but that doesn't mean the army is weak.No army is always 100% successful in all its operations .It all depends on different situations at the moment .for instance there is a situation where terrorists in Russia held hostage children in a school for days but doesn't mean weak military .Challenges are always there to make us learn and grow
 
Back
Top Bottom