Pale westgate ilikuwa miscalculation walipeleka kdf badala ya kupeleka recce squad ambao ndio wakotrained Ku deal na hostage situations in fact recce squad left the premises after one of them was allegedly shot by kdf fire.The situation at westgate is regrettable but we learnt some lessons the hardway .The recce company is very well trained for such situations
Kwenye nchi yeyote kunakua na vikosi vingi kuanzia Jeshi la ulinzi hadi Askari wa wanyamapori
In any operational situation once you call in Defense force automatically command structure changes , west gate nilitizama vifaaa vilikuwa vizuri Sana , askari wazuri lakini huenda tatizo lilikua ni waliingiza vikosi bila kubadili commanding structure Hapo lazima mpige wenyewe au kubishana
For instance kama Commander alikuwa mmoja Angeweza kupangia kila Kikosi kazi yake na pia inatakiwa wawe wanafanya simulation in fighting under one command
KDF COULD have secured perimeters and seal everything as well as air surveillance
Police could be controlling crowd
Fire men rescue people and fire alert
KIS counter ops
CID looks for possible exhibits with Florensic uni
recce take on the terrorist at the mall
KDF special force a stand by reinforcement in case recce needs support
Also Paramedics unite for emergency medicine