komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
irakunda hujajibu swali langu ..vita gani tz au operation yeyote km ile ya dusit walifanya peke yao wakashinda...bwahaaaa...ofcourse hakuna...vita vyote mlivyoenda mumeshirikiana...kw mfaano uganda..tanzania inajisifu km wao ndio waliikomboa uganda na museven anajisifu km aliingia msituni kwanza na akajipanga kumng'oa iddi amini madarakani