the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 889
weka driver za vibration pia make sure vibration iko enabled kwenye game lakoWakuu msaada kufanyia setting pad vibration, nimehangaika sana you tube bila mafanikio. Pad zangu ni dual shock natumia kwenye pc
Ndio mkuu ina motor... nimejaribu sana kuangalia tutorials you tube ila sijafanikishaweka driver za vibration pia make sure vibration iko enabled kwenye game lako
hiyo padi ina motor?
hiyo controller ni Generic,Ps3 au xboxNdio mkuu ina motor... nimejaribu sana kuangalia tutorials you tube ila sijafanikisha
Mkuu ukilipata pls usitusahau wadau asee...Hatimaye baada ya miezi mitatu hivi CPY wameweza ku crack pes 19
Pro Evolution Soccer 2019 Free Download
Mkuu pls ukifanikiwa kulidownload plsoyoooo
Poa poa...Download mkuu mbona rahisi tu
Ni hizi USB gamepad natumia kwenye laptop. ila zimeandikwa dual shock USB controllerhiyo controller ni Generic,Ps3 au xbox
Umeshawahi kuisikia hata siku moja iki vibrate? Maana wachina kwa kuandika andika tu wapo vizuri. Kama umeeka drivers zake na still haitoi vibration pengine haina hardware husika humo ndani. Ni zile za 10,000?Ni hizi USB gamepad natumia kwenye laptop. ila zimeandikwa dual shock USB controller
Cpu ni yakawida sana hata 2quad yangu itacheza sema ram ndio nitachemka nina gb 4 tu.Fifa 19 nao
FIFA 19 Free Download
Mkuu am sorry,android app nzuri ya kudownload mp3 music ni ipi?Kwa low setting utacheza mkuu. Ila sina uhakika sana
Kama source ni youtube checki na videoderMkuu am sorry,android app nzuri ya kudownload mp3 music ni ipi?
Wana nashindwa kuset pad vzur kwenye fifa 15 msaada
Mkuu ukilipata pls usitusahau wadau asee...Mkuu pls ukifanikiwa kulidownload pls
Limeweza kucheza mkuu??Download mkuu mbona rahisi tu
Hlo pes ukilidownload linacheza mkuu??Download mkuu mbona rahisi tu