PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wakuu msaada kufanyia setting pad vibration, nimehangaika sana you tube bila mafanikio. Pad zangu ni dual shock natumia kwenye pc
weka driver za vibration pia make sure vibration iko enabled kwenye game lako
hiyo padi ina motor?
 
Ni hizi USB gamepad natumia kwenye laptop. ila zimeandikwa dual shock USB controller
Umeshawahi kuisikia hata siku moja iki vibrate? Maana wachina kwa kuandika andika tu wapo vizuri. Kama umeeka drivers zake na still haitoi vibration pengine haina hardware husika humo ndani. Ni zile za 10,000?

Next time tafuta pad ya xbox 360 ama ps3 hizi zinapatikana kwa bei nzuri na zina features nyingi.
 
Jamani pes inanisumbua kwny champions league timu yangu ikikutana na barcelona game inaleta error
 
Jamani pes inanisumbua kwny champions league timu yangu ikikutana na barcelona game inaleta error
Kuna fix nadhani ipo itafute. Kasearch kwenye web ulikudownload patch
 
Back
Top Bottom