PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oy trouble nikipata tym man nakutokea pande zako zile,... Au ushahama nn
 
Kuna magame nilikuwa nayo kwenye extenal sasa kuna jmaa aliazima kumbe pc yake ilikuwa na virus
Zile setup za program mbalimbali ikiwemo hayo mageme zimeliwa
Vipi kuna namna ya kudownload setup pekee au ni mpaka nianze upya kudownload prog nzima?
 
Duuh hakuzima antivirus yake huyo. Hicho mimi kilishaga nikuta. Hapo unashusha mzigo upya kabisa.
 
Mwenye set up za FIFA za mwaka wowote msaada plz
Nina set up ya FIFA 19, ukihitaji njoo na PC posta siku ya Ijumaa, ntakupa na set up ya Game zingine kama Call of Duty, Battlefield, PES n.k ila ujiongeze Mkuu.
 
Kuna magame nilikuwa nayo kwenye extenal sasa kuna jmaa aliazima kumbe pc yake ilikuwa na virus
Zile setup za program mbalimbali ikiwemo hayo mageme zimeliwa
Vipi kuna namna ya kudownload setup pekee au ni mpaka nianze upya kudownload prog nzima?
Hapo Mkuu anza upya, haukunaga kudownload kale kasetup pekee yake.
 
Nina set up ya FIFA 19, ukihitaji njoo na PC posta siku ya Ijumaa, ntakupa na set up ya Game zingine kama Call of Duty, Battlefield, PES n.k ila ujiongeze Mkuu.
😂😂😂 Ajiongeze au sio.
 
Mida gani, posta sehemu gani na ngapi nije nayo kama nikipata nafasi
Nina set up ya FIFA 19, ukihitaji njoo na PC posta siku ya Ijumaa, ntakupa na set up ya Game zingine kama Call of Duty, Battlefield, PES n.k ila ujiongeze Mkuu.
 
haya next season patch 2019/2020 hii hapa kwa pes2017

patch size: 8 GB

.
 
Nmeiweka lkn graphics sio kali kama ile nyingine wame-improve sura za wachezaji na update ya vikosi...lkn viwanja na score board hamna kitu
 
score board na viwanja unaongeza kama add on. download pia nenda kwenye site then cheki pale kwenye add on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…