Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FIFA 20 Minimum PC Specs:
OS: Windows 7/8.1/10 - 64-Bit.
CPU: AMD Phenom II X4 965, Intel Core i3-2100, or equivalent.
Memory: 8GB.
Graphics Card: AMD Radeon HD 7850 2GB, NVIDIA GTX 660 2GB, or equivalent.
Hard Drive: At least 50 GB of free space.
Shukrani mkuu, nikuwa nimeshanunua Radeon 1 gb
Duuh hakuzima antivirus yake huyo. Hicho mimi kilishaga nikuta. Hapo unashusha mzigo upya kabisa.Kuna magame nilikuwa nayo kwenye extenal sasa kuna jmaa aliazima kumbe pc yake ilikuwa na virus
Zile setup za program mbalimbali ikiwemo hayo mageme zimeliwa
Vipi kuna namna ya kudownload setup pekee au ni mpaka nianze upya kudownload prog nzima?
Nina set up ya FIFA 19, ukihitaji njoo na PC posta siku ya Ijumaa, ntakupa na set up ya Game zingine kama Call of Duty, Battlefield, PES n.k ila ujiongeze Mkuu.Mwenye set up za FIFA za mwaka wowote msaada plz
Hapo Mkuu anza upya, haukunaga kudownload kale kasetup pekee yake.Kuna magame nilikuwa nayo kwenye extenal sasa kuna jmaa aliazima kumbe pc yake ilikuwa na virus
Zile setup za program mbalimbali ikiwemo hayo mageme zimeliwa
Vipi kuna namna ya kudownload setup pekee au ni mpaka nianze upya kudownload prog nzima?
Duuh hakuzima antivirus yake huyo. Hicho mimi kilishaga nikuta. Hapo unashusha mzigo upya kabisa.
Nina set up ya FIFA 19, ukihitaji njoo na PC posta siku ya Ijumaa, ntakupa na set up ya Game zingine kama Call of Duty, Battlefield, PES n.k ila ujiongeze Mkuu.
haya next season patch 2019/2020 hii hapa kwa pes2017
patch size: 8 GB
.![]()
PES2017 SmokePatch17
SmokePatch Football Life: Download the latest version and mods for PC. updated rosters and content, enhanced graphics, and simulation gameplay.www.pessmokepatch.com

score board na viwanja unaongeza kama add on. download pia nenda kwenye site then cheki pale kwenye add on.Nmeiweka lkn graphics sio kali kama ile nyingine wame-improve sura za wachezaji na update ya vikosi...lkn viwanja na score board hamna kitu
jamani mkipata na patch ya pes 16 mtuwekeeescore board na viwanja unaongeza kama add on. download pia nenda kwenye site then cheki pale kwenye add on.